Inakuwaje tunalazimishana Maisha ya utajiri wakati kila mtu ana malengo yake?

Inakuwaje tunalazimishana Maisha ya utajiri wakati kila mtu ana malengo yake?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Inakuwaje mnataka kuset standard ya maisha kwa kila mmoja wetu,tumeziharibu tamaduni kwa kuifanya dunia yote iwe na tabia moja,akili na muelekeo mmoja.

Tunaforce kila mmoja afikirie utajiri na kwanini isiwe elimu au watoto?

Sikuhizi limezuka wimbi la vijana kukashifu ndoa hivi vijana mnakwama wapi?
 
Hivyo wewe hutaki utajiri basi unakaliba ya uchawi chunga sana uzee wako utaturoga mno wewe!, wewe ni gaidi vyombo vya ulinzi vikuangalie sana, wewe ni lile jitu lakuogopa!, yani wewe ni zaidi ya zimwi ama kile kikulacho ndio wewe..

aliropoka mlevi mmoja akiwa chakali haswa!.
 
Chunga sana mtu anaejiita mhafidhina a.k.a anaitwa mshirikina

Inakuaje mtu hataki watu wawaze kuwa na utajiri!
Umasikini ni utumwa, umasikini ni fedheha, umasikini ni ugonjwa, umasikini ni tabu tupu. Tupambane kwa kadri tunavyoweza kuuepuka.
 
Mkuu umefikiria jambo kubwa na muhimu sana. Hizi mindset ndo zinawafanya wengine wajihisi unyonge na chuki kubwa endapo hatobahatika kufanikiwa katika utajiri. Ndomana upendo baina yq ndugu/marafiki umepoa sana sikuhizi ukiringanisha na miaka ya 2010 kurudi nyuma.
 
hata Mungu mwenyewe anapenda UTAJIRI. kwann mm niupende umaskini? ww ukichaa unakumendea, jitazame fikra zako upya.
sijasema nafavor umasikini ila napendelea watu wengi tuwe tuna middle income then tusiendeshwe na basis ya earning income as standard of mind/personality.

utakuta mtu mwenye kipato ndiyo anaonekana ana akili but hujiuliza pesa anazipata kwa njia gani!!je inakuwaje kama anauvua utu wake?au kudhalilisha watu wengine? what if fisadi na mwizi,msagaji na *****?

Vijana wa sasa tunauelewa mdogo mno.
 
Mkuu umefikiria jambo kubwa na muhimu sana. Hizi mindset ndo zinawafanya wengine wajihisi unyonge na chuki kubwa endapo hatobahatika kufanikiwa katika utajiri. Ndomana upendo baina yq ndugu/marafiki umepoa sana sikuhizi ukiringanisha na miaka ya 2010 kurudi nyuma.
Kabisa ukiwa una maisha ndugu zako wako vzr bac unakuwa kama hauko hv.
 
Back
Top Bottom