Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
NakaziaThere is no honor in poverty.
Mnaishi as if programmed softwareChunga sana mtu anaejiita mhafidhina a.k.a anaitwa mshirikina
sijasema nafavor umasikini ila napendelea watu wengi tuwe tuna middle income then tusiendeshwe na basis ya earning income as standard of mind/personality.hata Mungu mwenyewe anapenda UTAJIRI. kwann mm niupende umaskini? ww ukichaa unakumendea, jitazame fikra zako upya.
Kabisa ukiwa una maisha ndugu zako wako vzr bac unakuwa kama hauko hv.Mkuu umefikiria jambo kubwa na muhimu sana. Hizi mindset ndo zinawafanya wengine wajihisi unyonge na chuki kubwa endapo hatobahatika kufanikiwa katika utajiri. Ndomana upendo baina yq ndugu/marafiki umepoa sana sikuhizi ukiringanisha na miaka ya 2010 kurudi nyuma.