Wala mimi sijasema afukuzwe au hastahili ila inashangaza tu.kumbe unalijua? basi mwache kijana akawatumikie watanzania maana anastahili.
Kwa hiyo ulitaka awe kama MO? Alafu unajua mipango ya Nassari mpaka unamsemea acha roho ya kwa niniNani anasonga mbele ?
Hivi unawajua kina MO, marehemu Mfuruki ?
Hawa ni watu waliosoma nje pia.
Mtu aliyekuwa mbunge, aliyeenda kutafuta elimu mpaka ng'ambo akirudi kuanza kulialia kusaka teuzi wewe unaona kapiga hatua kweli ?
Kila siku nakuambia tumia akili ya kuzaliwa kudiscuss mambo. Siasa kulipa ndio teuzi ziwe za namna hii? Wasanii na walimbwende ndio watu wa kupiga kazi kweli?Siasa inalipa Mzee! Unatembelea V8, kila kitu bure.
Anayetakiwa kujiajiri ni nani kwani na anatakiwa kuwa na sifa zipi ?Kwa hiyo ulitaka awe kama MO? Alafu unajua mipango ya Nassari mpaka unamsemea acha roho ya kwa nini
Ila wemtu una roho ya wivu sana,inaonekana umekulia/unaishi kwenye familia ya mtoto wa Kambo,hakuna sehemu umewahi kumsema mtu aliyeonyesha kupata chochote kitu in a positive way nampa sana Mumeo!!Nani anasonga mbele ?
Hivi unawajua kina MO, marehemu Mfuruki ?
Hawa ni watu waliosoma nje pia.
Mtu aliyekuwa mbunge, aliyeenda kutafuta elimu mpaka ng'ambo akirudi kuanza kulialia kusaka teuzi wewe unaona kapiga hatua kweli ?
Wewe ni mtu unaeumia sana na mazuri ya wenzio, hii roho mbaya itakutesa sana tafuta dawa mkuu.Anayetakiwa kujiajiri ni nani kwani na anatakiwa kuwa na sifa zipi ?
Maana tunaodhani wana resources zote za kujiajiri ndio hao wanavizia teuzi.
Sasa mbona unaumia kama sio big deal?UDC ndio mazuri ?
Hivi ni big deal sana kwa mtu ambaye alikuwa mbunge?
Ona sasa ulivyoathirika na roho mbayaWewe ndio Joshua Nassary nini? 🤣🤣🤣
Punguza hasira, mimi kushangaa siyo kitu cha ajabu. Naamini kwa nafasi walizokuwa wamepata wangekuwa mbali.Ona sasa ulivyoathirika na roho mbaya
Alitengenezaje??? Jamani Watanzania tuacheni wivuuuuAlitengeneza mazingira ya TEUZI.
Sasa basi tuwaache walioteuliwa wafanye kaziHuwezi kuteua kila mtu ndani ya nchi ya watu 60M.
Dua la kuku hiliJoshua Nassary alipata Ubunge wa CDM akiwa very immature. UDC utakuwa ndiyo mwisho wa career yake kwa kuwa mazingira atakayokutana nayo huko hayatampeleka popote.
Hivi mnajua tafsiri ya wivu kweli ?Alitengenezaje??? Jamani Watanzania tuacheni wivuuuu
Kwani wasanii na walimbwende si watu?? Jokate amewa-outperform wengi wa ma-DC. Acheni uchuro wakuuKila siku nakuambia tumia akili ya kuzalia kudiscuss mambo. Siasa kulipa ndio teuzi ziwe za namna hii? Wasanii na walimbwende ndio watu wa kupiga kazi kweli?