Inakuwaje umeoa halafu unamwambia mwanamke mwingine "I love you?"

Mimi mademu wote ninaowatongoza lazima niwaambie kabisa nina mke. Ila mke wangu nampenda sana jamani.

Na huo ndo uanaume. Sio una mke halafu unatongoza demu unamuambia hujaoa. Mwambie una mke.

Mpaka wengine wakinipigia simu, wanaanza kabisa.. mama xxxx hajambo? Na mwanao... hahhahahaa
 

Umekula lakini??
 
Hisia haisimami kwa kuwa umeowa mkuu.
 
Unadhani anavyouliza hivyo anapenda? Anajikaza tu roho ila hapo ana wivu anataman hata hao watu awatoe duniani ili mbaki wew na yeye tu. Na wengine huenda mbali mpk kumchezea mkeo mambo ya ovyo ili atoke aingie yeye. M'mke ambae anajua una mke usitarajie eti anafurahia familia yako haipo hvyo na hatakaa iwe hvyo ni kujibalaguza tu[emoji57] sisi ndio wanawake
 
Daaah ni kweli dada angu unachosema, lakini unajua sisi wanaume tunaudhaifu na hicho kitu hapo chini. acha tu laiti ungekuwa mwanaume ungeelewa ninachosema.
 
Daaah ni kweli dada angu unachosema, lakini unajua sisi wanaume tunaudhaifu na hicho kitu hapo chini. acha tu laiti ungekuwa mwanaume ungeelewa ninachosema.
Shida usiseme nakupenda wewe omba upewe tunza basi usionyeshe hisia za kweli Kwa mtu wa Muda mfupi Hilo ndio tatizoo
 
Naomba namba zako za Whatsapp
 
Anayesema hivyo Kichwani kuna hitilafu na anayeambiwa hivyo akafurahia naye ni mwehu.Kwanini unadanganyika kirahisi hivyo.wanaume wa hivyo wanaowaonga hao wanawake ni mazombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…