Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Mimi mademu wote ninaowatongoza lazima niwaambie kabisa nina mke. Ila mke wangu nampenda sana jamani.
Na huo ndo uanaume. Sio una mke halafu unatongoza demu unamuambia hujaoa. Mwambie una mke.
Mpaka wengine wakinipigia simu, wanaanza kabisa.. mama xxxx hajambo? Na mwanao... hahhahahaa