Inamaana simba wachezaji wote ni wazee?

Inamaana simba wachezaji wote ni wazee?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
47F432CC-9A13-4992-B70F-58889E60CCD1.jpeg
 
Atakuwa nantes c huyo
Kumbe tuna mpaka mchezaji anayecheza Nantes ya Ufaransa!! Mbona hajawahi sasa kuitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa!!

Kuhusu kukosekana kwa hao wachezaji wa simba, ngoja tusubiri tamko kutoka kwa CEO wetu Barbara.
 
Huwa nacheka sana kuhusu Ally Msengi,Huyu jamaa nimesoma nae huko Mwanza na alinizid miezi miwili now niko nakaribia 30 Sasa huyu Dogo Yeye Bado Ana <23 tu
Ni majina na sura tu zinafanana, ila sio yeye huyo unaemsemea.
 
Hakuna beki ya kulia ya kitanzania anayemzidi Israel Patrick na ana miaka 22 tu ila wamechukua watu kwa majina ya timu ilihali hawajawahi kupata namba kwenye timu zao.
 
Huwa nacheka sana kuhusu Ally Msengi,Huyu jamaa nimesoma nae huko Mwanza na alinizid miezi miwili now niko nakaribia 30 Sasa huyu Dogo Yeye Bado Ana QUOTE]Acha kuharibu ugali wa watu
 
Hakuna beki ya kulia ya kitanzania anayemzidi Israel Patrick na ana miaka 22 tu ila wamechukua watu kwa majina ya timu ilihali hawajawahi kupata namba kwenye timu zao.
Ukizungumzia Fulbeki za mpira ndio hizi
Lusajo Mwaikenda.

Kibwana Shomari

Halafu kuna huyo wakuitwa Nathael Chilambo.
 
Baadhi ya wachezaji vijana wazee Simba SC

2002: Ahmad Teru (19)
2000: Kibu Denis (21)
2000: Ally Salum (21)
2000: Israel Mwenda (21)
2000: Peter Banda (21)
2000: Habib Kyombo (21)
1999: Jimson Mwanuke (22)
1999: Mohamed Outtara (22)
1998: Victor Akpan (23)
 
Back
Top Bottom