Inamaana simba wachezaji wote ni wazee?

Inamaana simba wachezaji wote ni wazee?

Baadhi ya wachezaji vijana wazee Simba SC

2002: Ahmad Teru (19)
2000: Kibu Denis (21)
2000: Ally Salum (21)
2000: Israel Mwenda (21)
2000: Peter Banda (21)
2000: Habib Kyombo (21)
1999: Jimson Mwanuke (22)
1999: Mohamed Outtara (22)
1998: Victor Akpan (23)
Kibuuuuuu
 
Ni majina na sura tu zinafanana, ila sio yeye huyo unaemsemea.
Ally Msengi Huyu alienzia Copa Coca-Cola mkoa wa Mwanza akaja Timu za Taifa za vijana akaja Mbao then KMC then akaenda SOUTH!??
 
Back
Top Bottom