Elections 2015 Inang'ara CCM, Kimenuka kwa Wapinzani

CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.

Ni kweli kabisa ccm ni chama chenye sera mzuri... Kama kuuzwa kwa twiga wetu, madawa ya kulevya kupita Airport bila Tatizo, kivuko cha mwaka 1978 kimenunuliwa Bilion 8, ukienda hospitali wakina mama wanajifungulia chini, Elimu pia ni mzuri kuna mpaka dv 5, kwa kweli ni chama chenye sera mzuri kabisa
 
Manaake nini sasa wewe demu?? Sera za kutorosha twiga ndiyo sera nzuri? Tumbafu gete ng'wanike bhebhe.
 
Vyote hivo vikiwa vina fanyika Lowassa Na SUMAYE wali kuweko
 
Na nyie mna maana gani Sera za matukio. Purukushani. Kujazana wahuni, vibaka katika mikutano yenu. Kuto jua nini mna taka Na kuto kuwa Na msimamo thabiti kume wapotezea point muhimu yani hata sare hamtoi MNA pigwa Nje ndani
 
Vyote hivo vikiwa vina fanyika Lowassa Na SUMAYE wali kuweko

Yes walikuwepo ndani ya CCM sasa kwa nini nikipigie kura chama ambacho kinaweza kuuza mpaka wanyama wetu? si mwisho wa siku watatuuza na sisi wanainchi na ukumbuke Lowasa yuko nje ya serikali kwa miaka 8 now
 
Nje ya serikali ila NI mwanachama Na mjumbe Wa kamati kuu NEC pia mjumbe meza kuu CCM ambayo ndio Chama chenye Dola mpaka sasa. So Ilani ya sasa anaijua in and out. Na mipango yote anajua. Kumbuka mambo yaki shindikanaga Bungeni wanaitana kwenye kikao cha Chama haraka baada ya vikao Vya Bunge. Una semaje yuko Nje. Wakati pia NI mzee mshauri Wa Chama toka 2009.
 
Hangova ya viroba ikiisha rudia tena kusoma u.pu.pu uliopakaza humu
 
Kweli kina sera nzuri, wanagawana pesa kwa viroba duuuh
 
CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.

Sijuhi umekalia nini hadi upate muhemko kiasi cha kushindwa kuandika ukaeleweka...!!

Anyway; ccm wana maneno mazuri kwenye majukwaa... Kiutendaji wanatenda tofauti.... Wanaongea hiki wanatenda kile ambacho hawakukisema lakini wanakiamini 100%!
 
Kweli kina sera nzuri, wanagawana pesa kwa viroba duuuh

Jamani. Huyu jamaa kumbukeni ana tumia fedha zake za mfukoni mpaka sasa. Sisi tume mkata kuwa epushia adhaa ambayo mnge ipata. Maana Fedha zote hizi anazo tumia ata zirudishaje. Kama kakopa ata lipaje lipaje maana sijaona Biashara inayo fanyika Ikulu.
 
Nje ya serikali ila NI mwanachama Na mjumbe Wa kamati kuu NEC pia mjumbe meza kuu CCM ambayo ndio Chama chenye Dola mpaka sasa. So Ilani ya sasa anaijua in and out. Na mipango yote anajua. Kumbuka mambo yaki shindikanaga Bungeni wanaitana kwenye kikao cha Chama haraka baada ya vikao Vya Bunge. Una semaje yuko Nje. Wakati pia NI mzee mshauri Wa Chama toka 2009.

Maana ya kuwa nje ni kwamba sio mtu wa serikali ni mtu wa chama, kwani mkapa na mwinyi wapo kwenye serikali? si wapo nje ya serikali? pili Tatizo ni chama ccm sio mtu na ndio maana hata baada ya lowasa kujiuzuru bado mkaiba pesa za tegeta Escro na bado mkanunua vivuko vibovu kwa dhamani ya juu,

Magufuli ameuza nyumba za serikali leo serikali inapata hasara ya kuwapangishia viongozi.... Magufuri ndie alikamata samaki na akashindwa kesi leo tunalipa bilion of money kwa wale jamaa

CCM ni janga la dunia
 
Wakati unaandika ilikuwa umebanwa na uharo nini??? Hueleweki kabisa.
 
Back
Top Bottom