Wonderland Management
Senior Member
- May 28, 2014
- 132
- 94
CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.
Ni kweli kabisa ccm ni chama chenye sera mzuri... Kama kuuzwa kwa twiga wetu, madawa ya kulevya kupita Airport bila Tatizo, kivuko cha mwaka 1978 kimenunuliwa Bilion 8, ukienda hospitali wakina mama wanajifungulia chini, Elimu pia ni mzuri kuna mpaka dv 5, kwa kweli ni chama chenye sera mzuri kabisa
Manaake nini sasa wewe demu?? Sera za kutorosha twiga ndiyo sera nzuri? Tumbafu gete ng'wanike bhebhe.
tulia andika ueleweke unawahi Ku post
Vyote hivo vikiwa vina fanyika Lowassa Na SUMAYE wali kuweko
CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.
Yes walikuwepo ndani ya CCM sasa kwa nini nikipigie kura chama ambacho kinaweza kuuza mpaka wanyama wetu? si mwisho wa siku watatuuza na sisi wanainchi na ukumbuke Lowasa yuko nje ya serikali kwa miaka 8 now
Umepagawa si bure wewe!
CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.
Hangova ya viroba ikiisha rudia tena kusoma u.pu.pu uliopakaza humu
Euphoria nakubali. Sio kosa lako
CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.
Kweli kina sera nzuri, wanagawana pesa kwa viroba duuuh
Nje ya serikali ila NI mwanachama Na mjumbe Wa kamati kuu NEC pia mjumbe meza kuu CCM ambayo ndio Chama chenye Dola mpaka sasa. So Ilani ya sasa anaijua in and out. Na mipango yote anajua. Kumbuka mambo yaki shindikanaga Bungeni wanaitana kwenye kikao cha Chama haraka baada ya vikao Vya Bunge. Una semaje yuko Nje. Wakati pia NI mzee mshauri Wa Chama toka 2009.