Elections 2015 Inang'ara CCM, Kimenuka kwa Wapinzani

Haya nyie wenye Sera nzuri mmesaidiaje kuondoa umaskini na ujinga Kwa miaka yote mliyokuwa madarakani. Acha ushabiki wa chama, chama cyo team ya mpira use me utashabikia tu hata kama hileti vikombe( Liverpool, arsenal) nooffense

Wewe ukishindwa maisha unafikiri wote tumeshindwa kama wewe? na hata hii dunia iishilie watu kama wewe wataendelea kuwepo kwasababu unahisi maisha ni kulalamika na kupiga mayowe huku ukifikiri maisha yanaletwa kama zawadi ama chai kwenye kikombe, shine your eyes!
 
Nani kasema Mimi mshabiki nolieo?:what: Tofautisha mshabiki na mpiga kura. Nimetetea ninacho kiamini.
 
nendeni mahakamani mkashtaki. Lowasa ndio habari ya mjini.

Na vijijini hakuna kura zaidi ya mbwembwe, sisi mziki wetu mnaujua na benki zetu mnazielewa kwani mpaka sasa tuna 95% katika wiki ya 1 ya kampeni kuelekea Ikulu ..Hapa kazi tu
 
Wewe ukishindwa maisha unafikiri wote tumeshindwa kama wewe? na hata hii dunia iishilie watu kama wewe wataendelea kuwepo kwasababu unahisi maisha ni kulalamika na kupiga mayowe huku ukifikiri maisha yanaletwa kama zawadi ama chai kwenye kikombe, shine your eyes!
Do you real know the functions of the government? Bila serikali nzuri shuhguli zote za kiuchumi hazifunction smoothly, na kama ww umefanikiwa sana ni Kwa hisani ya kazi za ccm za kunufaisha watu wachache ndo maana unakisupot
 
Nolieo kwa kutusaidia tu government sio neno moja kama unavyo sema wewe. Ina matawi yake. Uki sema ime shindwa Kazi jua ume jumlisha Na matawi yake ambayo Legislature au Parliament ni moja ya tawi linalo unda government. Ambapo kwenye Parliament ambayo ni Bunge yupo mbunge wako Na wangu Na wote jumlisha Wa CHADEMA Na Ukawa. Uki sema ime shindwa Kazi ina maana hata wenu wame shindwa Kazi.
 
Correction of error!!! Sema nitaje sababu za kuwa mwanachama Wa CCM sio mshabiki cause the fact is Mimi sio mshabiki. Ni mwanachama.

Hahaha wewe ni shabiki unaye confuse chama na team ya mpira,. Shabiki wa mpira hata team yake iwe mbovu kiasi gani ataisupot tu, that is what u r doing...
 
Nolieo kwa kutusaidia tu government sio neno moja kama unavyo sema wewe. Ina matawi yake. Uki sema ime shindwa Kazi jua ume jumlisha Na matawi yake ambayo Legislature au Parliament ni moja ya tawi linalo unda government. Ambapo kwenye Parliament ambayo ni Bunge yupo mbunge wako Na wangu Na wote jumlisha Wa CHADEMA Na Ukawa. Uki sema ime shindwa Kazi ina maana hata wenu wame shindwa Kazi.

hivi baba katika familia akiwa imara na familia c inakuwa imara, ccm si ndo baba na inawabunge wengi, thus kwenye kuunda Sera bora za nchi ccm inanguvu ya kupitisha hizo sera, haya Sera zipi nzuri ambazo ccm imezipitisha za kufanya uchumi na hali ya maisha ya wananchi kuwa nzuri
 
Kwahiyo NYIE mama?🙁
 
Hahaha wewe ni shabiki unaye confuse chama na team ya mpira,. Shabiki wa mpira hata team yake iwe mbovu kiasi gani ataisupot tu, that is what u r doing...

Unajua kuna mwanafalsafa moja alisema " A leader takes a lot more in his share of Blame and Little more in his share of Credits"
 
Hahaha wewe ni shabiki unaye confuse chama na team ya mpira,. Shabiki wa mpira hata team yake iwe mbovu kiasi gani ataisupot tu, that is what u r doing...

Aliye fananisha ushabiki na uwanachama ni wewe. Na kwa kukujibu kama ulivo jiaminisha ni hivi kama NI ushabiki basi ww ni mshabiki Wa Team mbovu ambayo ina shindwa kila game lakini bado una matumaini ya ubingwa
 
Nilijua naongea na gamba la ccm ambalo at least lina kauelewa kapana kidogo, kumbe ndo walewale. R.I.P GAMBA LA ccm

Gamba liko huko tume baki Makamanda Wa Mapinduzi watupu huku. Hata huji ulizi Kwa nini mtu ana ng'ang'ania Urais. Kwani. Yeye. Nani!!!???
 
Defensive mechanism ya upinzani ilikuwa ni kupondea kwa kuwataja mafisadi jikwaani, sasa safari hii hawana wamebakia kutoa maneno ya kumtetea mtu na kutoa hoja mfu za kujihami. Meals huu Magufuli hadi ikulu, na walizokiwa wanasema ni gnome zao ndo tutapasua vizuri sasa. Ccm sio chama cha mchezo asee. Hamjajiandaa mnachukua watu kuyoka ccm ndo mnatanua vifua. Bakini kama wapinzani hadi mtakapompata mtu wenu kwa kumuandaa ebo!
 
Back
Top Bottom