Elections 2015 Inang'ara CCM, Kimenuka kwa Wapinzani

Elections 2015 Inang'ara CCM, Kimenuka kwa Wapinzani

ni kweli kabisa ccm ni chama chenye sera mzuri... Kama kuuzwa kwa twiga wetu, madawa ya kulevya kupita airport bila tatizo, kivuko cha mwaka 1978 kimenunuliwa bilion 8, ukienda hospitali wakina mama wanajifungulia chini, elimu pia ni mzuri kuna mpaka dv 5, kwa kweli ni chama chenye sera mzuri kabisa

mkuu mbona huelezi vile mbowe ameuza chama kwa kijana wa kimasai au ndiyo vile nyanii haoni nyuma yake

watu wenye akili za kudownload bado wamesimamia ukiwa , nawafananisha na wale wapigaji vita wa kinjekitile ngwali walioishia kusema MAJI, mwishoni wakafa wote, kidumu chama cha mapinduzi na adumu magufuli milelel
 
tulia andika ueleweke unawahi Ku post
Bora uandike kidogo lakini ujumbe ufike, lakini siyo kuandika habari isiyo na hoja wala mashiko, nadhani umeelewa. Wapinzani mkiona sehemu imeandikwa CCM mnatetemeka, mkimuona Jakaya mnatetemeka, mkimuona Kinana mnatetemeka, mkimuona Nape mnatetemeka, mkimuona Magufuli mnaumia karibu kuzimia, na mkiona kijani na njano mnateseka sana, habari ndio hiyo
 
ccm, mbele kwa mbele, tunataka mafanikio , na maendeleo bora sio bora maendeleo, mjipange wapinzani mwaka mwingine mje na trekta , sio kisu tena butu #hapakazitu
 
Manaake nini sasa wewe demu?? Sera za kutorosha twiga ndiyo sera nzuri? Tumbafu gete ng'wanike bhebhe.
1995 mlikuja, 2000 mlikuja, 2005 mlikuja, 2010 mlikuja na sasa hivi mmekuja, tena mmekuja wote kwa pamoja (UKAWA) lakini, kilichowatokea miaka hiyo, kitawatokea tena ni mwendo wa knockout tu
 
Bora uandike kidogo lakini ujumbe ufike, lakini siyo kuandika habari isiyo na hoja wala mashiko, nadhani umeelewa. Wapinzani mkiona sehemu imeandikwa CCM mnatetemeka, mkimuona Jakaya mnatetemeka, mkimuona Kinana mnatetemeka, mkimuona Nape mnatetemeka, mkimuona Magufuli mnaumia karibu kuzimia, na mkiona kijani na njano mnateseka sana, habari ndio hiyo

Wana te..te...wanatetemeka
 
1995 mlikuja, 2000 mlikuja, 2005 mlikuja, 2010 mlikuja na sasa hivi mmekuja, tena mmekuja wote kwa pamoja (UKAWA) lakini, kilichowatokea miaka hiyo, kitawatokea tena ni mwendo wa knockout tu

Yani safari hii jiwe moja wote puuuuuhhh....afu wasipo angalia Zitto na ACT wana rudi na wabunge wengi
 
Vigezo na Masharti huzingatiwa, linapokuja suala la chama kuwa bora, ubora wa chama unatokana na sera imara ambazo zipo ndani ya ilani, na nani ambae atakua ndiye mpambanaji wa utekelezaji wa sera hizo, CCM hongereni sana kwa sababu vigezo na masharti munavyo hivyo kung'ara ni lazima. Lakini kwa wapinzani hakuna vigezo wala masharti kwa sababu ilani hakuna, sera hazijulikani ni siasa za kukurupuka tuh. HONGERENI CCM KWA SIASA YAKINIFU
 
tulia andika ueleweke unawahi Ku post

Bora uwe muongeaji sana kuliko muandikaji sana, halafu ukashindwa hata kusoma ulichoandika. Lowasa kuongea dakika 8 na kuwaambia watu wakasome kwenye website, na kuongea sana watu wakaelewa bila ya kwenda website, kipi ni bora?
 
CCM ilikuwa imebakiza risasi moja tu katika bunduki yao ya kuimaliza UKAWA. Risasi hiyo ni hotuba mbovu,isiyokuwa na ukweli na ya kumezeshwa ya Dr.Slaa kuiponda UKAWA na Lowassa. Kutokana na kuwa Lowassa ni mpango mkubwa wa MUNGU kuikomboa Tanzania kutoka katika kundi hatari la CCM Dr Slaa ameweweseka na kujikuta akipiga risasi katika upande wake yeye na watu wake hao waliomtuma,kumlipia hotel na ndege ya kukodi kutoka Afrika ya Kusini,na kwenda Marekani ambapo ataendeleza propaganda za siasa nyeusi na chafu.Hatojali tena maslahi mapana ya Wananchi wa Tanzania.Amelipua bomu na ametokomea kukwepa madhara yake huku watu wa upande wake wakiangamia.TUNASONGA MBELE!!
 
Back
Top Bottom