Elections 2015 Inang'ara CCM, Kimenuka kwa Wapinzani

Elections 2015 Inang'ara CCM, Kimenuka kwa Wapinzani

CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.
11951157_802600469857946_8744194376584260752_n.png
 
CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.

Ingekuwa na sera nzuri kiuchumi mngezidiwa na Kenya? Hamna Sera nzuri inayofanya watu wawe na maisha magumu kila kukisha
 
Nyie Lowassa akiwa CCM mlisema ni Fisadi na MNA ushahidi wote mbona hamu kwenda? Au Tindu Lissu ali sema mtapoteza pesa? Sisi adhabu tulio mpa ya kumkata ime mtosha.

ccm mnachekesha Sana mnajitenkenya n kujamba wenyewe. Waliomkata wao wenyewe Ni mafisadi na wanakashifa kibao kama madawa ya kulevya,uharamia WA pembe za ndovu,ufisadi, majungu na fitina. Sasa watajiitaje kamati ya maadili wakati wao Ni wachafu. Twende na lowasa kwa mabadiliko makubwa sasa.
 
Yes walikuwepo ndani ya CCM sasa kwa nini nikipigie kura chama ambacho kinaweza kuuza mpaka wanyama wetu? si mwisho wa siku watatuuza na sisi wanainchi na ukumbuke Lowasa yuko nje ya serikali kwa miaka 8 now
11260843_802168879901105_1353257538280622705_n.png
 
Mbaka warudishe twiga wetu ndo tutawachagua..mabadiliko kwa sasa ndo kila kitu
 
Na vijijini hakuna kura zaidi ya mbwembwe, sisi mziki wetu mnaujua na benki zetu mnazielewa kwani mpaka sasa tuna 95% katika wiki ya 1 ya kampeni kuelekea Ikulu ..Hapa kazi tu

vijijini kwenye watu wanataka mabadiliko. Nani asiejua dhaifu kaharibu maisha ya wananchi na uchumi ujumla, gharama za maisha zimepanda kwa kasi kubwa. Labda ufisadi ndio kazi Tu kwa ccm. Tunataka mabadiliko na Hilo lipo wazi Lowasa anakwenda kuchukua nchi hapo octobar.
 
Badilika kwanza wewe kwenye akili yako. Kama unafikiria Fiasadi atakusaidia, umelamba galasa.
 
Nyie vibaraka wa ccm mlioko humu jf walah kwa hali ilivyo ndani ya ccm na mafuriko ya ukawa na wananchi walivyoelimika nishaona jinsi mnavyoikimbia tz october 26 .
 
Back
Top Bottom