Elections 2015 Inang'ara CCM, Kimenuka kwa Wapinzani

Elections 2015 Inang'ara CCM, Kimenuka kwa Wapinzani

CCM wameshakuwa laini kama maini hivyo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni lazima wataondoka madarakani.# Mbowe.

Ulipo Tupo.
 
Na Slaa kasema kama Lowassa ana bisha zile tuhuma ajitokeze. Na mpaka sasa haja jitokeza. Hahahahahaha Padri SLAA Hoyeeeeeee

Hakika Slaa amemtoa meno mwenzie, si mchezo. 20150903035620.jpg
 
CCM wameshakuwa laini kama maini hivyo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni lazima wataondoka madarakani.# Mbowe.

Ulipo Tupo.

Kwa mwendo mnaoenda nao wa kuumizana wenyewe mnaipa CCM golden chance, na haitaitumia vibaya
 
Kwa mwendo mnaoenda nao wa kuumizana wenyewe mnaipa CCM golden chance, na haitaitumia vibaya[/QUOTE CCM hiyo Golden Chance unayoiongelea wataisubiri baada ya miaka 50.
 
Kwa mwendo mnaoenda nao wa kuumizana wenyewe mnaipa CCM golden chance, na haitaitumia vibaya
CCM hiyo Golden Chance unayoiongelea wataisubiri baada ya miaka 50.
 
CCM Chama imara Na chenye Sera nzuri. Wame pagawa wapinzani hawajui wafanye nini hawana pakushika. Hawana Ilani. Sera mbovu. Mapemaaa ina soma namba.

CCM imedhoofika sana,imefika wakati mchana wapo CCM usiku wapo UKAWA!!Wanakula CCM kura watapiga UKAWA.
 
Back
Top Bottom