Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Haya nyie wenye Sera nzuri mmesaidiaje kuondoa umaskini na ujinga Kwa miaka yote mliyokuwa madarakani. Acha ushabiki wa chama, chama cyo team ya mpira use me utashabikia tu hata kama hileti vikombe( Liverpool, arsenal) nooffense
Wewe ukishindwa maisha unafikiri wote tumeshindwa kama wewe? na hata hii dunia iishilie watu kama wewe wataendelea kuwepo kwasababu unahisi maisha ni kulalamika na kupiga mayowe huku ukifikiri maisha yanaletwa kama zawadi ama chai kwenye kikombe, shine your eyes!