Uchaguzi 2020 Inaniuma sana. NEC wameninyima haki yangu ya kupiga kura

Uchaguzi 2020 Inaniuma sana. NEC wameninyima haki yangu ya kupiga kura

Haitasaidia maana kura za Magufuli zitakuwa ni nyingi sana kiasi hata mkiziiba bado atawashinda tuu.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Haitasaidia maana kura za Magufuli zitakuwa ni nyingi sana kiasi hata mkiziiba bado atawashinda tuu.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kama kashindwa kutupa haki zetu miaka mitano iliyopita atawezaje kuzitoa ijayo?
Mwambie namdai increament zangu za miaka 5 maadaraja yangu mawili


#YNWA
 
Mkuu bila kupinga maelezo yako mazuri, ila kusema ww ni msomi tena umefikia kiwango cha kufanya research kabisa, lakini hujui wala kusikia kuwa huwezi kupiga kura eneo ambalo hujajiandikisha, hiyo haijakaa vizuri. Sasa kama msomi kabisa mambo haya rahisi huelewi, kuna lolote la maana tutarajie kwenu wasomi?
 
Usijali, unaweza kumsaidia michango ili aweze kuishi baada ya Oktoba 28, kama una nguo ambazo huzihitaji, mafuta ya kupikia au hata sehemu ya kulala, unaweza saidia, ...
Lazima ashinde.

#YNWA
 
Wewe hovyo tu. Ulishindwa nini kurudi ulikojiandikishia. Shauri yako safari hii utalimia fizi akipita baba yule. Utaipotezaje kura ya TL kizembe hivyo?
Nauli kutoka DSM mpaka kazini ni 65,000/= kwenda nakurudi chuo ni 130,000/=
Mind you; sifanyi Kazi Songea ila ni Ruvuma.

#YNWA
 
Back
Top Bottom