Uchaguzi 2020 Inaniuma sana. NEC wameninyima haki yangu ya kupiga kura

Uchaguzi 2020 Inaniuma sana. NEC wameninyima haki yangu ya kupiga kura

Kwa hiyo uliamini kitundu kitakupandisha daraja na kukupa hayo yote eeh? Hivi unafanya 'research' gani vile kwa upeo wako mdogo hivi wa kufikiri!?
JPM ndio mpango mzima! Tutapaishiwa mishahara na madaraja mpaka tuseme poo! JPM ndio mpango mzima! Ngoja sgr, Mwl. Nyerere dam vikamirike, Mambo ya libya ya Gadafi tutayaishi Tz!
 
Chaguzi zilizopita ulikua unapiga KURA.
Ukifika kituo cha kupigia KURA unapewa form Kati ya namba 8 au 13 (nimesahau exactly namba).
Ila mwaka huu hili halipo.
Na mabadiliko haya yametangazwa tarehe 25.

Jiwe kwani anaogopa nini?

#YNWA
Sasa jiwe anahusikaje hapo wakati hata yeye kura zake nyingi tu hazitapigwa! Hapa ninao wanna Wana wa JPM kindakindaki na waliokuwa na usongo wa kumkomesha shoga wameshindwa kupigia kura kwa sababu Kama hiyo! Hebu townie mihemko ktk Mambo Kama haya! Hayana uhusiano na JPM! Karibuni kwenye sherehe za kumuapisha rais JPM!
 
Waulize NEC kuhusu wanafunzi chini ya miaka 18 waliokuwa wanafundishwa na Hassan Zungu, Naibu Waziri Mazingira, kumpigia kura za ndio magufuli wamepiga kura kituo gani. Nawe kajiunge nao. Kama itakuwa haramu kwako, basi itakuwa jinai kwa Zungu na wanafunzi wake.
 
Bado hujachelewa kama unamaaniisha, yapo mabasi ya kwenda Mtwara na yanafika kabla ya saa 10. Wahi stendi tu!
 
Uandishi mbovu kabisa mwanafunzi wa masters na mtumishi wa umma. Una haki ya kukosa kupiga kura.
 
Usijali, unaweza kumsaidia michango ili aweze kuishi baada ya Oktoba 28, kama una nguo ambazo huzihitaji, mafuta ya kupikia au hata sehemu ya kulala, unaweza saidia, ...

IMG_2176.jpg
 
Usijali, unaweza kumsaidia michango ili aweze kuishi baada ya Oktoba 28, kama una nguo ambazo huzihitaji, mafuta ya kupikia au hata sehemu ya kulala, unaweza saidia, ...

daaaah sio kwa kucheka uku
 
Kama kashindwa kutupa haki zetu miaka mitano iliyopita atawezaje kuzitoa ijayo?
Mwambie namdai increament zangu za miaka 5 maadaraja yangu mawili


#YNWA

aisee kaa ukijua jamaa ndo anaenda kua raisi wa milele, rejea bunge la mwisho la ndugai, hutaki hama nchi
 
Back
Top Bottom