Uchaguzi 2020 Inaniuma sana. NEC wameninyima haki yangu ya kupiga kura

Haitasaidia maana kura za Magufuli zitakuwa ni nyingi sana kiasi hata mkiziiba bado atawashinda tuu.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
nyingi ni feki... na bado mnatumia nguvu kubwa kutuaminisha kuwa meko anakubalika kuliko mtu yoyote😂
 
Jamani kuweni karibu na huyu mtu anaweza kujinyonga kwa hasira.
Ila usijitundike bana, Liver tutapoteza shabiki 😅😅
YNWA
 
dogo ukiongezewa mshahara haimaanishi ndo unatoka kimaisha, sjui una tundu akilini
Kifupi nahitaji haki yangu.
Kama nitagongea malaya HAIKUHUSU.
Mi nataka anipe haki yangu.

#YNWA
 
Sheria ya utumishi wa imma zinamkataza mtumishi kujihusisha na Mambo ya siasa.
Hivyo mi nilichohitaji ni kupiga tu kura then nirudi home nikaendelee na Mambo yangu.

#YNWA
You LL never walk alone....tujifariji a timu yetu mkuu...inayotupa Raha.....HUU UCHAFUZI HAUNA MAANA,BORA HATA HUKUPIGA,HAWA JAMAA NI WEZI ZAIDI YA PROFESA NDUMILAKUWILI
 
nyingi ni feki... na bado mnatumia nguvu kubwa kutuaminisha kuwa meko anakubalika kuliko mtu yoyote[emoji23]
Tumeipenda wenyewe,chaguo letu wenyewe tunaamini katika CCM na Magufuli kwa MAENDELEO ya TANZANIA.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mkuu hii sikwa Zungu tu nadhani wameitumia Tz nzima,wanafunzi wadgo waliandaliwa kupiga kura
 
Tumeipenda wenyewe,chaguo letu wenyewe tunaamini katika CCM na Magufuli kwa MAENDELEO ya TANZANIA.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Watanzania gani wa Diaspora au maan wa bongo humu mpaka mmetumia kura feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…