mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Wengi tu huyo Tiwa savage aliwahi kukataa mtoto wake asijekufanya mziki kama yeye(sababu alitoa manyanyaso ya kingono lakini najua alificha picha kubwa).Kuna confession ya Gwajima kuhusu Dr.Remmy nliona online sijui ilikuwa na ukweli kiasi gani lakini inaongelea Dr.Remmy kupata nguvu kutoka kwa wakuu wa bahari.Kwa kweli mtu anafikiwa mpaka moyo unakataa mambo maovu aliyofanya.
Hapa kwetu kanani wasanii wa bongo fuleva wananuka sana mavi, wanatumia mapafyumu ya bei mbaya lakini ukipishana nao lazima usikie harufu ya mavi.
Kiwanda cha muziki ni fedheha
Wengi tu huyo Tiwa savage aliwahi kukataa mtoto wake asijekufanya mziki kama yeye(sababu alitoa manyanyaso ya kingono lakini najua alificha picha kubwa).Kuna confession ya Gwajima kuhusu Dr.Remmy nliona online sijui ilikuwa na ukweli kiasi gani lakini inaongelea Dr.Remmy kupata nguvu kutoka kwa wakuu wa bahari.
Mambo ni mengi.Giza lipo kila kona (kwenye dini,siasa,michezo,mziki na filamu) ukiwa ba tamaa kwisha habari yako
Kumbe ndio maana wanatumia vilevi sana..
Whitney alifia bafuni baada ya kuji overdose..
Kingine madeni na mikopo..
Hii dunia ina vitu vingi asee.Ukiwa na tamaa kitakulamba.Siku niliyojua hii dunia sio ni siku nimeenda kanisani maeneo ya Mikocheni ndio nilijua jinsi giza lilivyotanda.Jamaa alisema pesa haipatikani kizembe hivyo bwana mdogo(japo si kwenda pale kwa ajili ya hilo,alisema hivyo baada ya kuona nimeona ufirauni unaofanyika pale kanisani kwao)Hatari sana niliona hiyo ya Remmy Ongala.
Giza ni nene kweli, tamaa mbaya ndio mwisho kwenda kuona na Mungu wa Benin ili uwe Pastor mkubwa uvutie watu na miujiza.
Hii dunia ina vitu vingi asee.Ukiwa na tamaa kitakulamba.Siku niliyojua hii dunia sio ni siku nimeenda kanisani maeneo ya Mikocheni ndio nilijua jinsi giza lilivyotanda.Jamaa alisema pesa haipatikani kizembe hivyo bwana mdogo(japo si kwenda pale kwa ajili ya hilo,alisema hivyo baada ya kuona nimeona ufirauni unaofanyika pale kanisani kwao)
Michael Jackson,Sio huyo tu Kanye West alifanya confession wakajua ni kichaa,yule dogo mmoja wa disney na muigizaji alifanya confession pia(anaitwa China Anne McClain) utajua mziki au filamu inasehemu kubwa ya giza kuliko kipaji.
Michael Jackson,
Justin Bieber,
Britney Spears,
Wewe kariri kuwa "bila ulimwengu wa roho " kimziki hutoboi.Msanii wa Mziki Chriss Brown amesema anachukia Tasnia ya Muziki na Mastaa wake. Sasa tukilinganisha na yeye ya Pdid na RKelly na haya ya hapa nyumbani ni dhahiri kuna ukweli na ndio maana hata baadhi ya wana muziki wa kiulizwa kama wangependa watoto wao waje kuwa wana muziki wanakataa.
Mnaoijua kiundani na mliopo kwenye hii Tasnia tujuzeni.
Yap alisema hivyo.Ukweli ni kwamba hii dunia sehemu kubwa ya vitu tunavyo tumia haitokani na akili za mwanadamu.Kuna binadamu wachache sana wanafanya contact na viumbe wengine ndio wanapewa huo uwezo.Dah aise alikuwambia wazi ? ni hatari sana bora tule ugali wetu na matembele tulale matukio kama hayo yanatisha.
Wewe kariri kuwa "bila ulimwengu wa roho " kimziki hutoboi.
Yeah list ni ndefu ukianza kuwazingatia.Kibongo bongo hapa usimsahau Steven Kanumba japo ilikuwa tayari ndio hivyo.Lakini najua wapo wengi zaidi(huwezi kuwataja lakini najua wanajijua na mambo yakiwafika shingoni watasema tu)Michael Jackson,
Justin Bieber,
Britney Spears,
Yap alisema hivyo.Ukweli ni kwamba hii dunia sehemu kubwa ya vitu tunavyo tumia haitokani na akili za mwanadamu.Kuna binadamu wachache sana wanafanya contact na viumbe wengine ndio wanapewa huo uwezo.
Kuna mama pia naye ana makanisa alifanya confession iliyoniacha kinywa wazi.Pale kanisani kwake anamaspika ambayo anadai yanatengenezwa huko chini ya bahari,alitaja pia brand kibao lakini inakuwa ngumu kusema hapa maana hakuna ushahidi wa moja kwa moja(lakini ukweli ni kwamba product nyingi tunazotumia hazina uhusiano wa moja kwa moja na akili ya binadamu)
Yeah list ni ndefu ukianza kuwazingatia.Kibongo bongo hapa usimsahau Steven Kanumba japo ilikuwa tayari ndio hivyo.Lakini najua wapo wengi zaidi(huwezi kuwataja lakini najua wanajijua na mambo yakiwafika shingoni watasema tu)
Wale waumini wanasainishwa mikataba na kuzimu bila wao kujua.Hiki kitu ndicho wanafanya watu wa siasa,michezo,filamu na mziki pia.Kanye alitaja mtu kama Michael Jordan,Dr.Dre na wengine kibao ambao either walitoa kafara za watoto wao au wazazi wao.Kanye anikiri mama yake ilikuwa ndio iwe basi tena.Ndio uu freemason na Iluminat yenyewe hiyo. Hali ni mbaya. Unaona mtu alikuwa mchungani na watu chini ya 100 ghafla anaenda Benin ghafla anavutiwa maelfu ya watu. Fikiria mtu anaacha kulala kwake Mbagala anaenda kulala uwanjani. Akili zinashikwa.
Wasagaji na kupasuliwa spikaNa hawa masharti yao ya kike yakoje, wanapigwaje mijegeje?
Ni ulimwengu mkubwa kushinda huu ulimwengu unaoonekana kwa macho. Wanaojua jinsi ya kuzamia huko ndio wanaoishi maisha mazuri katika huu ulimwengu unaoonekana. Mchawi anapoingia ndani ili hali umefunga mlango, anatumia ulimwengu wa roho. Tatizo ni siri, watu wanafanya mambo kwa siri.Fafanua mkuu ulimwengu upi wa roho....?
Wale waumini wanasainishwa mikataba na kuzimu bila wao kujua.Hiki kitu ndicho wanafanya watu wa siasa,michezo,filamu na mziki pia.Kanye alitaja mtu kama Michael Jordan,Dr.Dre na wengine kibao ambao either walitoa kafara za watoto wao au wazazi wao.Kanye anikiri mama yake ilikuwa ndio iwe basi tena.