DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
Msingi wa hoja ni kwamba Breezy ametoa hiyo.Iwe imeandikwa haijaandikwa deal na hoja ni kweli sio kweli.
Msingi wa hoja ni kwamba Breezy ametoa hiyo.
Kitendo cha ku fail kuonesha mahali Breezy alopotoa hiyo kauli kunaua hoja yako automatically.
Ukiona Yale aloyofanya Faustina juzi ni hatariTasnia ya burudan, Hususani miziki na filamu, kuna ushetani fulani hivi mle ambao ukiwa nje unaweza sema hao jamaa ni watu walio na furaha sana ila deep down wana msongo wa mawazo sana
Ukiona Yale aloyofanya Faustina juzi ni hatari
NandyNi nani Faustina?
Kulazimisha kwamba ametoa kauli huku ukishindwa kuleta ushahidi utakuwa sawa na mawakili wa Jamhuri wanaosema Lisu ni mhaini wakati hawana ushahidi wowote wenye mashiko.Ametoa kama wewe ni mvivu wa kusoma tulia. Au kama mada imekugusa tulia.
Kulazimisha kwamba ametoa kauli huku ukishindwa kuleta ushahidi utakuwa sawa na mawakili wa Jamhuri wanaosema Lisu ni mhaini wakati hawana ushahidi wowote wenye mashiko.