Pre GE2025 Inaonekana Uamuzi wa Tundu Lissu kugombea tena unamuumiza kichwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu anajulikana mitandao tu, wananchi wa kawaida uko vijijini nani anamjua unaonekana utembei wewe
Usisingizie watu wa vijijini kwamba hawamjui LISSU nakuhakikishia kwamba hakuna kijiji ktk taifa hili kwamba hawamjui LISSU na kama una ubavu nipo tayari kugharimia utafiti tena tutumie njia za kitaalam za kufanya utafiti nakupa nafasi wewe binafsi chagua kijiji chochote hapa tz tukafanye random sampling halafu tuje na majibu hapa JF kwamba kijiji X hakuna mwananchi aliyewahi sikia jina la Lissu
 
Tundu huyu huyu Antipas ?
 
Alikuwa anajipa moyo
 
Lisu anajulikana mitandao tu, wananchi wa kawaida uko vijijini nani anamjua unaonekana utembei wewe
Mikutano yake unayoiona sasa anafanyia mitandaoni? Na huyo anayefahamika mpaka vijijini mbona kajaza mabango ya kampeni barabarani kabla ya wakati? Anamuogopa nani?
 
Mikutano yake unayoiona sasa anafanyia mitandaoni? Na huyo anayefahamika mpaka vijijini mbona kajaza mabango ya kampeni barabarani kabla ya wakati? Anamuogopa nani?
Hahaha
 
Mikutano yake unayoiona sasa anafanyia mitandaoni? Na huyo anayefahamika mpaka vijijini mbona kajaza mabango ya kampeni barabarani kabla ya wakati? Anamuogopa nani?
Akikupa majibu nishtue
 
Ni kweli kabisa. Naona aliyejipanga kajaza mabango nchi nzima, kamata kamata kilo kona. Mnaogopa nini? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Simaanishi Mimi sisiemu hapana mi neutral,tamanio langu ni kuona nchi yetu inakua na vyama viwili strong kama US hapa ndipo maendeleo ya Kasi tutayapata maana jeuri ya chama tawala itapungua.

Majibu kama "hamia Burundi" yatakoma ushindani wa kujenga nchii itakua juu maana ukizingua uchaguzi ukija chama kingine kinashika madaraka.Lakini sioni chama mbadala Cha kuing'oa CCM kwa Sasa ingawa raia wapotayari kuyapokea mabadiliko wengi....eg.clip Moja ilitembea Mbowe akihubili kujali Wachaga,ilinisikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…