Inaonesha Wasaidizi wa Rais hawako makini kivile!

Hotuba za Rais wa sasa mimi huwa sizifuatilii,huwa nakuja tu humu kusoma summary ikitokea amesema jambo lenye uzito
Sasa uwaamini wanaosikiliza kuliko kusema "kama ni kweli alisema hivyo". Hiyo kauli ni kama vile huwaamini waliosikia na kukuletea hapa.

Cc Memento
 

mkosa yote
 
Kwani Rais kasema atasamehe bila mtu kuhukumiwa? Na je kama atatoa maelezo kwa DPP?

Acheni ujinga ,Mbowe kaelezwa wazi aache dharau na kuleta chokochoko Nchini.
Kumbe ni dharau plus chokochoko na siyo ugaidi? Ndiyo maana majaji wanapata taabu sana na hiyo kesi. Ndiyo maana yule jaji Siyani alipewa promotion.

Ngoja tusubiri njia atakayotumia kumsamehe mtuhumiwa wa ugaidi, kwamba ni baada ya hukumu? Au kwa kupitia DPP? Maana hukumu inaonekana ilishakua tayari.
 
Inasikitisha sana
 
Kwa sasa hakuna Rais pale bali sanamu la michelini
 
Kwani Rais kasema atasamehe bila mtu kuhukumiwa? Na je kama atatoa maelezo kwa DPP?

Acheni ujinga ,Mbowe kaelezwa wazi aache dharau na kuleta chokochoko Nchini.
Utakuwa unapakwa mafuta yaliyokuwa chumbani kwa mwenezi wenu Babu kijana sio bure wewe. Kwa maelezo yangu na yako no vitu viwili tofauti. Kajifute KY unayopakwa ndio uje kusoma vizuri na mjinga babako mbwa wewe sio sababu umekopa MB ndio unakuja na lugha za kipumbavu kuwa na heshima . Blaaaalifaken
 
Inawezekana kabisa!
 
Jaji huyu hawezi kumwangusha Samia!
 
Kusameheana kupo na inawezekana iwapo mama akiamua kumwambia DPP kesi aachane nayo kwa maslahi mapana ya taifa.
hv mbowe anamaslahi gani mapana ya kitaifa!!??,msilinganishe uchafu na hili taifa.kila kiumbe ktk hili taifa Kiko chini ya Sheria za taifa,Sheria ndizo ztaamua na kutoa maamuz ama anaachiwa ,ama anakula nyundo!!acheni kelele.
 
hv mbowe anamaslahi gani mapana ya kitaifa!!??,msilinganishe uchafu na hili taifa.kila kiumbe ktk hili taifa Kiko chini ya Sheria za taifa,Sheria ndizo ztaamua na kutoa maamuz ama anaachiwa ,ama anakula nyundo!!acheni kelele.
Utaja geuka tu soon!
 
In shortly ... watu waliomzunguka mama. Hawpo smart sana, kwa matukio na mienenda ya kiutawala ilivyo sasa nchini
 
Bi tozo kajizungushia wazanzibari wenzake, unategemea nini
 
kuna namna sijaipenda ambayo ni ya kuunganisha uzi kwenye vipengele visivyoeleweka niliandika humu uzi usiku na watu wakaanza kuchangia asubuh nakuta uzi umeyeyuka sijui umehamishwa
 
Hauko sawa kabisa,issue ya mbowe wafuasi wengi tu wa chadema tayari walishafungwa,na eti kumfundusha rais aseme vipi we unappdanganya mkeo au mmeo huwa unaomba kufunzwa?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…