Inaonesha Wasaidizi wa Rais hawako makini kivile!

Inaweza kuwa DIKTETA ali kula tunda kiamsihara.....!!

HALAFU HAKULIPA HATA LODGE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa nadhani taasisi ya urais ni nyeti na inapaswa kutenda na kutamka kwa hekima na tahadhari,na ndivyo ilivyokuwa. Ile tu kutamka tuheshimu sheria maana yake ama tungoje maamuzi ya mahakama au DPP afute kesi. Hivyo kwa maoni yangu tunapaswa kusubiri moja kati ya hayo mawili yatokee. Nakumbuka tu kwamba Kiswahili kwa mama ni lugha mama.
 
Rais Samia hajaiva kuongoza nchi. Yule ni rais WA Jamhuri ya Muungano. Lakini Hana mamlaka yoyote Zanzibar. Amekaa snaa Zanzibar na shida za bara hazijui. Kuna baadhi ya maeneo huyu mama hayajui na Hajawahi kufika. Kwa hiyo maisha ya Tanzania bara hayajui.

Kesi ya Mbowe na Sabaya, ni matokeo ya Vita iliyokuwepo wilaya ya Hai Kwa mda mrefu tangu Ole sabaya ateuliwe kuwa DC.
Mamlaka zilishindwa kuonyesha uongozi baadala yake kesi hizi za uhujumu uchumi zinakazaliwa.

Tujiulize kulikuwa na nini wilaya ya Hai??
 
Mama nahisi ana ishu personal na Mbowe, kila akitajiwa kuhusu Mbowe huwa anapaniki sana na anajikuta anaropoka mambo yasiyo ya msingi.

Nadhani ni zaidi ya tunayoyajua kuhusu mama na uhusika wake kwa hii kesi ya Mbowe
Huu ndio ukweli, mama anapofikia issue ya mbowe huwa anaongea hadi kuhukumu kabla ya 'mahakama za michongo' haijamuhukumu!
 
Kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 

Pole Sana, Jamaa kakuchefua, imeenda unatukana taratibu mpaka doh hatari
 
Pole Sana, Jamaa kakuchefua, imeenda unatukana taratibu mpaka doh hatari
Tusameheane tu, JF imevamiwa, unamuelekeza mtu msg kibao kwa ustaarabu yeye anakuja na lugha za hovyo mwisho wa siku unajikuta unamrushia maneno yasiyostaarabika .
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Naunga mkono yote uliyoandika hapo ndg Mjumbe Kwamba Ni ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…