Rais Samia hajaiva kuongoza nchi. Yule ni rais WA Jamhuri ya Muungano. Lakini Hana mamlaka yoyote Zanzibar. Amekaa snaa Zanzibar na shida za bara hazijui. Kuna baadhi ya maeneo huyu mama hayajui na Hajawahi kufika. Kwa hiyo maisha ya Tanzania bara hayajui.
Kesi ya Mbowe na Sabaya, ni matokeo ya Vita iliyokuwepo wilaya ya Hai Kwa mda mrefu tangu Ole sabaya ateuliwe kuwa DC.
Mamlaka zilishindwa kuonyesha uongozi baadala yake kesi hizi za uhujumu uchumi zinakazaliwa.
Tujiulize kulikuwa na nini wilaya ya Hai??