Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

Baba Kisarii

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2024
Posts
1,844
Reaction score
3,089
Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya

Inapendeza wanapokutana kwa umoja.

1718362925817.jpg
 
Mmoja akikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya

Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
Nachelea kusema kuwa hata hicho unachokiona ni muendelezo wa maigizo maana hao watu sanaa ipo kwenye damu na ni suala la muda tu utakuja kubaini hilo.
Umesahau mwenendo wa Mzee Yusuph baada ya kutoka hija na sasa kipi kinaendelea?
Njia pekee itakayowafanya wabaki huko ni pale ambapo itadhihirika beyond reasonable doubt kwamba sanaa ya utumishi wa Mungu inalipa kuliko sanaa ya maigizo na uchekeshaji.
 
Umesahau mwenendo wa Mzee Yusuph baada ya kutoka hija na sasa kipi kinaendelea?
Mungu wa Mkandamizaji na Irene hana kigeugeu kama mungu wa Mzee Yusuph, keshawaokoa hao waliokuwa wasanii na kamwe hataruhusu warudi walikotoka.
 
Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya

Inapendeza wanapokutana kwa umoja.

View attachment 3017214
Mapastor maigizo au mapastor watumishi wa Mungu🤔
 
Back
Top Bottom