Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.

Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya

Inapendeza wanapokutana kwa umoja.

View attachment 3017214
Kuna Movie moja ya Uwoya na Kanumba (nmesahau jina) nakumbuka tuliichek Pale Bwaloni Same Boys enzi zilee...kutoka apo wana wakaenda kupiga nyeto balaa
 
Hapana wataniponya nitawalipa sadaka yao nitaedelea na maisha yangu siez tenga kuda wangu kila week kusikiliza Uchoko.
Na wakikuponya halafu ukarudi kule kule ulikotolewa hayo mapepo yatakurudia dazani na utakuwa kichaa wa kutembea uchi wa mnyama pasipo kuona aibu.

Kusikiliza mafundisho sio uchoko bali ni kujiimalisha ili shetani asikufanye mnyonge wake.
 
Na wakikuponya halafu ukarudi kule kule ulikotolewa hayo mapepo yatakurudia dazani na utakuwa kichaa wa kutembea uchi wa mnyama pasipo kuona aibu.

Kusikiliza mafundisho sio uchoko bali ni kujiimalisha ili shetani asikufanye mnyonge wake.
Sasa mbona halna tofauti na waganga
 
Asomae na afahamu, maandiko matakatifu kwenye BIBLIA TAKATIFU yamesha tufundisha jinsi gani tutawajua walio wakweli na waongo, narudia tena hao ni wahuni tuu
Wahuni hawawezi kukemea mapepo kwa jina la Yesu.

Waite wahuni iwapo wanakemea pepo kwa jina la Rick Ross 😂😂
 
Nachelea kusema kuwa hata hicho unachokiona ni muendelezo wa maigizo maana hao watu sanaa ipo kwenye damu na ni suala la muda tu utakuja kubaini hilo.
Umesahau mwenendo wa Mzee Yusuph baada ya kutoka hija na sasa kipi kinaendelea?
Njia pekee itakayowafanya wabaki huko ni pale ambapo itadhihirika beyond reasonable doubt kwamba sanaa ya utumishi wa Mungu inalipa kuliko sanaa ya maigizo na uchekeshaji.
Kwa mzee Yusuph ni kugumu kule ndgu 😂😂.
Ukienda tofauti unakula za uso na kipigo utapata.

Ila huku kwa kina Uwoya na Masanja wana hadi wafuasi wao ambao ni watetezi wao.
 
Back
Top Bottom