Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Nachelea kusema kuwa hata hicho unachokiona ni muendelezo wa maigizo maana hao watu sanaa ipo kwenye damu na ni suala la muda tu utakuja kubaini hilo.Mmoja akikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya
Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
😄😄😄😄😄😄Nikitaka huduma ya kuombewa private na mtumishi Uwoya napataje no yake?..
Acha kuwasema vibaya watumishi.Wote hao ni wahuni tuu wamegeukia fursa ya kupiga hela za wajinga na wapumbavu kwa mgongo wa dini🚮🚮
Na iwe hivyoAmina
Wewe ni Ke ama Me?Nikitaka huduma ya kuombewa private na mtumishi Uwoya napataje no yake?..
Na iwe hivyo.
Mungu wa Mkandamizaji na Irene hana kigeugeu kama mungu wa Mzee Yusuph, keshawaokoa hao waliokuwa wasanii na kamwe hataruhusu warudi walikotoka.Umesahau mwenendo wa Mzee Yusuph baada ya kutoka hija na sasa kipi kinaendelea?
Kwa Mungu yote yanawezekana.Yote yanawezekana, kama unaweza kusajili kampuni, ata kanisa unaweza ukasajili na maisha yakaendelea; muhimu kile unachokifanya kiwe na maslai.
Hao ni watumishi au watumiko?Acha kuwasema vibaya watumishi.
Na humpati tena keshaokoka huyoUwoya amekua pasta kabla sijakikula kile kipilipili chake basi tu
Mapastor maigizo au mapastor watumishi wa Mungu🤔Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu.
Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya
Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
View attachment 3017214
WatumishiHao ni watumishi au watumiko?