Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

Kuna msemo mmoja unasema time will solve everything. With time rangi halisi za hawa watu zitaonekana
 
Yesu alionya "msihukumu ili msije mkahukumiwa"

Unalijua hilo andiko?
Ndiyo maana nikakueleza NENO lina mkanganyiko sana.Unasoma hivi,ukienda mbele unakutana na ukinzani.Na hapo ndiyo huwa nacheka sana kwa yafuatayo:-
1-mtu kuchukua mstari mmoja wa biblia na kuung'ang'ania hadi anaanzisha kanisa lake.
2-ustaadh uchwara anaokota mstari mmoja wa biblia na kuomba mdahalo hadharani bila kutumia busara.
3-mtu kuhama dhehebu aidha kwa kutoelewa mstari wa biblia au maudhui ya sehemu anaposali.Vichekesho hadi keshokutwa.
 
Ni kweli kuna watu husoma neno lakini huwa hawalielewi, watu wa hivyo huitwa watu wasio na maono wasio weza kujizuia.
 
Siku mapepo yakikuvagaa ndipo utajua umuhimu wa hao Wagalatia, na utakuwa kondoo kama kondoo wengine.
Hapana wataniponya nitawalipa sadaka yao nitaedelea na maisha yangu siez tenga kuda wangu kila week kusikiliza Uchoko.
 
Kwa hiyo sii mbaya tukisema witomaokoto ya kondoo🫠
Wito ni kueneza injili, maokoto ni lugha iliyoletwa tu na kina Nchemba.

Hivi unajua kuwa kondoo wanaopatika katika injili ni mali ya Yesu na sio ya yule aliyehubiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…