Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

Kuna Movie moja ya Uwoya na Kanumba (nmesahau jina) nakumbuka tuliichek Pale Bwaloni Same Boys enzi zilee...kutoka apo wana wakaenda kupiga nyeto balaa
 
Hapana wataniponya nitawalipa sadaka yao nitaedelea na maisha yangu siez tenga kuda wangu kila week kusikiliza Uchoko.
Na wakikuponya halafu ukarudi kule kule ulikotolewa hayo mapepo yatakurudia dazani na utakuwa kichaa wa kutembea uchi wa mnyama pasipo kuona aibu.

Kusikiliza mafundisho sio uchoko bali ni kujiimalisha ili shetani asikufanye mnyonge wake.
 
Sasa mbona halna tofauti na waganga
 
Usikute walivyo maliza kupiga iyo picha walienda kufanya matusi kwa gesti. Nawaza tu.
 
Asomae na afahamu, maandiko matakatifu kwenye BIBLIA TAKATIFU yamesha tufundisha jinsi gani tutawajua walio wakweli na waongo, narudia tena hao ni wahuni tuu
Wahuni hawawezi kukemea mapepo kwa jina la Yesu.

Waite wahuni iwapo wanakemea pepo kwa jina la Rick Ross πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa mzee Yusuph ni kugumu kule ndgu πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ukienda tofauti unakula za uso na kipigo utapata.

Ila huku kwa kina Uwoya na Masanja wana hadi wafuasi wao ambao ni watetezi wao.
 
Wahuni hawawezi kukemea mapepo kwa jina la Yesu.

Waite wahuni iwapo wanakemea pepo kwa jina la Rick Ross πŸ˜‚πŸ˜‚
Siku hizi hata wasanii wa bongo fleva wanataka jina Yesu kwenye nyimbo zao sembuse hao wahuni
 
Naona walienda kusikiliza bajeti

Hii πŸ‡ΉπŸ‡Ώ sahivi ni kiboko

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…