Inapotokea umemzidi umri mama mkwe unampa salamu gani

Inapotokea umemzidi umri mwenza na mama yake pia unampa salamu gani?
Kunamahala tulienda kuposa, maza mkwe akawa kama amemwwlewa Mkwewe, mara anampigia simu " eti Mkwe leo hatunywi beer?" Mara leo hatuli kitimoto" nikamwambia mwanangu usipoteze muda goli lilo wazi hilo....!!!

Kilichofuata ndo kupiga shoot!!
 
Posa iliendelea?
 
Back
Top Bottom