Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kumbe mwandishi mwenye kihiyo anajitia kujua kifaransa wakati mtupu. Sema sijui badala ya kutete ujinga dogoUkiona hujaelewa basi juwa hujaandikiwa wewe, si lazima kila kitu uelewe, walengwa wameelewa.
Ndio hata kwenye kingereza Dictionary tunaandika "Dikshenari"
Punguza ujuwaji.
Hivi vitu vina majaribu sana... Baadhi ya mama wakwe hujikuta wanawapindua mabinti zao automatically!Inapotokea umemzidi umri mwenza na mama yake pia unampa salamu gani?
Vipi hiyo by your personal experience ndg Sky EclatHakupaswa kuwa hivyo lakini inatokea, umezaliwa 1978, mwenza alizaliwa 1998 na mama mkwe alizaliwa 1980
[emoji3][emoji3]Unamuangalia tu usoni kwa staili hii[emoji116], mpaka akuamkieView attachment 1957995
Nimekumbuka "Ushoto (Lushoto)" kule juu mlimani, kijiji cha Ngulwi karibu na kwa Henry Daffa Shekifu[emoji23][emoji23][emoji23] hangwe onga mahundo!
Aah kaka ndio nyumbani huko ujueNimekumbuka "Ushoto (Lushoto)" kule juu mlimani, kijiji cha Ngulwi karibu na kwa Henry Daffa Shekifu
Kumbe! Nimefanya kazi sana ya kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti ya asili. Maeneo hayo ni mwenyeji, nilikaa miaka mitatu tangu 1994-97Aah kaka ndio nyumbani huko ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kweli Kambi ya FisiNitamsalimia "shalom mama"
Kwahiyo kijiji cha Dochi unakijua vizuri sana.. Hapo ndio nimekuliaKumbe! Nimefanya kazi sana ya kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti ya asili. Maeneo hayo ni mwenyeji, nilikaa miaka mitatu tangu 1994-97
Samaki samakiInapotokea umemzidi umri mwenza na mama yake pia unampa salamu gani?
Nakijua sana! Ilikuwa njiapanda yangu kwenda Ngulwi. Sijui lini nitakwenda tena "Ushoto" kufaidi hewa safi na mandhari nzuri mno kule milimani!!!Kwahiyo kijiji cha Dochi unakijua vizuri sana.. Hapo ndio nimekulia