Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
We acha utani nani anamchakachua mwenzie???
Pole shemeji yangu, uko powa lakini?
Huyo shostito anakuonya ukome kumfuatilia, hapa inaonekana amekuja na id mpya ili akutolee hasira alizokuwa nazo juu yako.
Pengine ujitathmini shem isijekuwa kweli umemkwaza mahali fulani, ingawa pia nakuaminia sana.
Hebu angalia nani kanigongea senksi kule kwenye posti yangu....... Wajukuu wako sambamba na babu, kwa maslahi ya kiuno cha babu....Hachakachuliwi n'tu hapa LOL
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:
MwanajamiiOne (Today)
We acha utani nani anamchakachua mwenzie???
CPU.............:A S 13::A S 13::A S 13:
unataka kunihamisha JF kwa lazima na hiyo avatar yako???? :A S 13::A S 13::A S 13:
Hata mie naiogopa kweli
ok ok!kyabushaija ONCE MORE.....!
KWAHERINI YA KUONANA