Kijana habari yako
hebu toa hiyo avata jirani.....!
unafanya mambo gani tena?
Kwani ikoje kaka?
Umeona eehhh sio mimi na michelle tu na wengine pia
inatisha sana mkuu....!
maisha hayatishi hivyo lol
hebu pita zero baadae unywe maji ya 500 kwa bili yangu
Ha ha ha ha ah sawa basi ndugu zangu, nipeni muda niitoe
inatisha sana mkuu....!
maisha hayatishi hivyo lol
hebu pita zero baadae unywe maji ya 500 kwa bili yangu
Aisee we dogo usiitoe hiyo avatar!
Inanipa apetaiti ya kula kitimoto!
Kama kweli unatupenda TUTEKELEZEE OMBI LETU
MMU plz...stick to the forum ethics ..chuki na bifu zenu pelekeni kwenye PMz zenu bana..:A S 13:Tangu nijiunge na JF sijawahi kupata PM ya aina hii ndo maana nimeamua kuiweka hapa uvumilivu umenishinda
Kilichonisikitisha zaidi ni siku hiyo hiyo ndo kajiunga kaja na matusi
Girlie Girlie
19th February 2011 06:26 PM
Member
Join Date : 19th February 2011
Location : Dar
Posts : 43
Thanks14Thanked 5 Times in 4 Posts
Rep Power : 0
niache tafadhali
Huna akili pamoja upremium member wako. Ungekuwa na heshima ukaacha kunifatilia, endelea na maisha yako. I wish ningeweza kukublock milele!
ok ok!kyabushaija ONCE MORE.....!
KWAHERINI YA KUONANA