Inaruhusiwa mtu kumtukana mwenzio kwenye PM??????

Ahhllah!!!!, Mambo ya Mipasho yashaanza tena huku!
 

Hiyo bold tu mkuu pata haki yako hapa chini

The Following User Says Thank You to Domo Zege For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 

Hiyo Bold mkuu umeongea haswa.
 
Nahisi kuna tatizo, manake sidhani kama mtu naweza akaamka akaanza kukuandikia PM ya kukutukana bila sababu...!

Kuna chanzo cha yeye kufukia hatua hiyo, we need to know the other side of the story ambayo uínaonekana unaificha na kujaribu kutafuta sympath yetu ili tuone huyo mwingine ndio ana matatizo...!
 

Mi mwenzenu hadi hiyo avatar tu iliniogopesha manake naona kama inasadifu matrhead yake na mambo yake!!
Ila nilikaa tu kimya, coz daaaa!!
Kuna huyo NE naye balaa, kanipa bunge la tusi kwenye thread fulani, hivi.
Nikamsamehe tuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!! but daaaaaaaaaa!!!!!
 
Mimi naona wote mna makosa. Huyo aliyekutukana ana makosa na wewe uliyeanika pm ya mwenzako pia una makosa. Wakati naingia jf nilisoma sheria vzuri hairuhusuwi kuanika hadharani pm ya m2.
 

DA huyu ni mtoto, kwani ushamuona tena jamvini zaidi ya ile siku aloingia na ku-post viji-thread vingi.. kumbe aliamua kuingina na kasi ya matusi pia:A S 13:
 
Hiki kidude cha Pm kingekuwa kinaweza kutoa siri zote za ndani, wengine tungeoneana aibu wakati hata kuonana hatuoni.
Pole sana mamaa dena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…