Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wewe chawa! CCTV tunazo nyumbani! Maccm ni majizi hayataki kuweka Ili yasionekane Kwa uhalifu wao! Nchi za hovyo kama Pakistani ziko mpaka uchochoroni! Majizi nyie!CCTV ziko Nairobi Kenya 🐼
Unaanzaje kukabidhi simu ya watekaji kwa polisi ambao in fact ndio watekaji wenyewe ?Wakuu,
Inasemekena eneo alilotekewa Nondo kuna CCTV Camera inayorekodi matukio eneo hilo, lakini pia katika purukushani za patashika nguo kuchanika simu ya moja ya watekaji ilianguka chini, na hivyo vyote amepewa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Wakuu hii ina maana wasiyojulikana kwa mara nyingine watajulikana, na ni suala la muda tu kama kuna hata mmoja alifanikiwa kurekodi tukio hilo video zitaanza kusambaa.
Pia soma: Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Swali la muhimu ni kwamba tutaona watu hawa wakifikishwa kwenye mikono ya sheria, au Jeshi la Polisi litatulia bati kama ilivyokuwa kwenye utekaji wa bonge ambako wameshindwa hata kutoa majina tu ya wale watekaji wakati picha zao zinaonekana!
Au ndio ataambiwa tena kuwa alijiteka, walikuja ndugu zake wakafanya igizo! Ila polisi wa TZ mna sehemu yenu mbinguni kwa sir God!
Sana walifanya kosa kubwa sana,Walikosea kupeleka kituo cha polisi
Hata tukipiga mstari hatuna cha kuwafanya.Kituo kipya kile, wakisema hazifanyi kazi au zimepotea katika amzingira ya kutatanisha hatutahitaji D 2 kupiga mstari
Unaanzaje kukabidhi simu ya watekaji kwa polisi ambao in fact ndio watekaji wenyewe ?
Kipindi Lissu anapigwa chuma CCTV zilikuwa kila mahali lakini nini kiliendelea?
Hata alipopigiwa risasi Lisu palikuwa na CCTV camera masaa 24.
Kelele za chura hazijawahi kumtisha ng'ombe kunywa maji. Muhimu ni je, wasipoutoa huo ushahidi utawafanya nn?ACT wanatakiwa wapige kelele ili ushahidi wa CCTV utolewe hadharani.
Hawana muda wa kutoa maelezo,watakaa kimya na yataisha hivyohivyo.Watasema simu ilipodondoka ilivunjika na kusambaratika na laini ilipotea na haitengenezeki hivyo haina msaada wowote katika kuwapata hao maharamia.
Yeah wangefahamika sura zao lakini wasingefanywa lolote, unadhani wanapoteka live wanavaa masks? Si wanaonekana sura zao? Picha za watekaji wa yule bonge si zimejaa mitandaoni lakini umesikia lolote kutoka kwa polisi kuhusu upelelezi wa issue hiyo?..CCTV za tukio la Lissu hazikuangukia mikononi mwa Chadema, au wananchi.
..Chadema wangepata CCTV hizo tungekuwa tunazungumza habari nyingine.
😳 😳 mbona wanajulikanaWakuu hii ina maana wasiyojulikana kwa mara nyingine watajulikana, na ni suala la muda tu kama kuna hata mmoja alifanikiwa kurekodi tukio hilo video zitaanza kusambaa.
simu ya polisi inakabidhiwa polisi hii nchi raha sanaWakuu,