Tetesi: Inasemekana hali ya Steve Nyerere yazidi kuwa mbaya aomba kama kuna aliyemloga amsamehe

hahaa ilikuwa zamani kaisi taarifa zilikuwa hazisambai vyema tofauti na sasa ..siwajua tena masocial network hayakuwepo..
kama sijasahau marehemu alikuwa anatoka na dancer mmoja hivi wakike ambaye alikiwa maarufu. sana wakati ule jina lake limenitokA na huyo dancer nae alishakufa kitambo tu
Huyo dancer alikuwa Diana 'Aston Villa'
 
Dar es Salaam. Msanii wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema ana wiki mbili yupo kitandani huku akitaja ugonjwa unaomsumbua kuwa ni nyama kushikana na mifupa.
Steve ambaye alishawahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, amesema ugonjwa huo umemsababisha kushindwa kufanya kazi yoyote na kushindwa kutembea, huku daktari wake akimshauri apumzike zaidi.

Akizungumzia alichoandaka kwenye ukurasa wake wa Instagram wa kuomba aliyemloga amsamehe, amesema ameandika kama binadamu tu na haoni kama kuna ubaya.

“Unajua katika maisha lazima kuna watu uliwakosea, hivi mimi kuandika vile sioni kama kuna ubaya wowote kikubwa nawaomba Watanzania waniombee niweze kupona na kurudi katika majukumu yangu ya kila siku,”amesema Steve.

Ameeleza tangu aanze kuumwa mahali anapoweza kufika ni kutembea kutoka chumbani hadi sebuleni na sebuleni kurudi chumbani tena kwa kusaidiwa kutokana na maumivu makali anayoyasikia.
Huyo dogo nyama zimuote tuu hata mdomoni hakuna namna mpuuzi sana
 
Anaamini karogwa? Kwanini? Halafu nyama za mwili lazima zishikane na mifupa la sivyo umbo la mwili haliwezi kukamilika labda kama sijamwelewa
 
Huyo dancer alikuwa Diana 'Aston Villa'
ewaaaaaaaaa hahaa you nailed it Broo
kumbe unakumbu kumbu njema kiasi hcho hahaa
enzi za kina mama mingoi hizo na shangingi La mashangingi Shenazi..
kama yule SHENAZI ndio aliharibu na kuuwa watu wengi mnoooo ..saloon yake walikuwa wanashinda machoko tu ..nakila anapokwenda wame mzunguka...haya mambo Yakina delicious yalianzaga kitambo hahaa..enzi za FM club kinondoni
 
Inasemekana hali ya steve nyerere bado sio nzuri ,aomba kama kuna aliyemloga amsamehe

=======

0435cf70b14cc28691183b022a9edbbc.jpg
Ikisha somwa kuwa hairudi
 
Back
Top Bottom