Akilibandia
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 477
- 636
Acha tu.Maombi ya siku hizi duh
"Mungu afanye anachotaka"
Mara "apumzike anapostahili"
Ha ha ha nacheka kama mazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu.Maombi ya siku hizi duh
"Mungu afanye anachotaka"
Mara "apumzike anapostahili"
Ha ha ha nacheka kama mazuri
Hahahah na wewe hupendi wanamaigizo !!!To be honest kwa Mara ya kwanza nafurahia shida za binadamu mwenzangu....
Mungu nisamehe...
REA au gridi ya taifa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeme ndo unamsumbua cha muhimu apige dozi.
Huyo dancer alikuwa Diana 'Aston Villa'hahaa ilikuwa zamani kaisi taarifa zilikuwa hazisambai vyema tofauti na sasa ..siwajua tena masocial network hayakuwepo..
kama sijasahau marehemu alikuwa anatoka na dancer mmoja hivi wakike ambaye alikiwa maarufu. sana wakati ule jina lake limenitokA na huyo dancer nae alishakufa kitambo tu
Huyo dogo nyama zimuote tuu hata mdomoni hakuna namna mpuuzi sanaDar es Salaam. Msanii wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema ana wiki mbili yupo kitandani huku akitaja ugonjwa unaomsumbua kuwa ni nyama kushikana na mifupa.
Steve ambaye alishawahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, amesema ugonjwa huo umemsababisha kushindwa kufanya kazi yoyote na kushindwa kutembea, huku daktari wake akimshauri apumzike zaidi.
Akizungumzia alichoandaka kwenye ukurasa wake wa Instagram wa kuomba aliyemloga amsamehe, amesema ameandika kama binadamu tu na haoni kama kuna ubaya.
“Unajua katika maisha lazima kuna watu uliwakosea, hivi mimi kuandika vile sioni kama kuna ubaya wowote kikubwa nawaomba Watanzania waniombee niweze kupona na kurudi katika majukumu yangu ya kila siku,”amesema Steve.
Ameeleza tangu aanze kuumwa mahali anapoweza kufika ni kutembea kutoka chumbani hadi sebuleni na sebuleni kurudi chumbani tena kwa kusaidiwa kutokana na maumivu makali anayoyasikia.
hivi sisi wengine mifupa yetu Na nyama vimetengana?Duhhhh...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
M.A.P ni kifupisho cha nini mkuuUmechanganya "Aisha" na "Asha" ,Aisha(M.A.P) ndio yupo kwenye list na Asha ndio Mwenye Band.
Anaamini karogwa? Kwanini? Halafu nyama za mwili lazima zishikane na mifupa la sivyo umbo la mwili haliwezi kukamilika labda kama sijamwelewaDar es Salaam. Msanii wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema ana wiki mbili yupo kitandani huku akitaja ugonjwa unaomsumbua kuwa ni nyama kushikana na mifupa.
Steve ambaye alishawahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, amesema ugonjwa huo umemsababisha kushindwa kufanya kazi yoyote na kushindwa kutembea, huku daktari wake akimshauri apumzike zaidi.
Akizungumzia alichoandaka kwenye ukurasa wake wa Instagram wa kuomba aliyemloga amsamehe, amesema ameandika kama binadamu tu na haoni kama kuna ubaya.
“Unajua katika maisha lazima kuna watu uliwakosea, hivi mimi kuandika vile sioni kama kuna ubaya wowote kikubwa nawaomba Watanzania waniombee niweze kupona na kurudi katika majukumu yangu ya kila siku,”amesema Steve.
Ameeleza tangu aanze kuumwa mahali anapoweza kufika ni kutembea kutoka chumbani hadi sebuleni na sebuleni kurudi chumbani tena kwa kusaidiwa kutokana na maumivu makali anayoyasikia.
ewaaaaaaaaa hahaa you nailed it BrooHuyo dancer alikuwa Diana 'Aston Villa'
hahaa ukimwi mkuu ..ukimwi huwa unamfnya mtu awe anaropoka tu ..pasipo kujua akisemacho ..namuda mwingine huwa wanakuwa niwakali mnooAnaamini karogwa? Kwanini? Halafu nyama za mwili lazima zishikane na mifupa la sivyo umbo la mwili haliwezi kukamilika labda kama sijamwelewa
I see uHahahah na wewe hupendi wanamaigizo !!!
hahaaaUKIMWI siyo kifo, afuate masharti tu.
Anadhani hatukuwahi kuingia darasani huyu besthivi sisi wengine mifupa yetu Na nyama vimetengana?
Ikisha somwa kuwa hairudiInasemekana hali ya steve nyerere bado sio nzuri ,aomba kama kuna aliyemloga amsamehe
=======
![]()
Nenda hospitaloo wewe kijana...Inasemekana hali ya steve nyerere bado sio nzuri ,aomba kama kuna aliyemloga amsamehe
=======
![]()
Ugonjwa wake hauhitaji [emoji382][emoji381]Yupo hospital ipi tukamtembelee au anaugulia nyumbani