Inasemekana Ivan the Don hajafa

Story tu.hayo ulouliza ya kutoonyesha sula ya mtu ndo sawa,ila eti aliwapiga wazungu dhahabu fek ni hadithi tu.wazungu wanajua dhahabu kuliko sisi tulionazo
 
Sisi tunajua amekufa na amezikwa, km hajafa atajua mwenyewe na tukimuona n mbioo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] pengne ndo anataka
 
Ndio maana wale watoto wakawa wakavu vile ,yaani hata sura za majonzi walikuwa hawana
Yule mtoto mkubwa alikua na majonzi hasa, Pia akiona sinema mama yake anacheza ni km alikua anawaza zamu yake sijui lini
 
Ohoooo.......[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ivan again......[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mkuu naomba na mie maujanja ya kukesha JF, aisee nakuona hapa uli reply saa saba kasoro usiku wa leo. hahahahahaha. Safi sana. JF ina wenyewe na wenyewe ndio akina Ushimen
 
Watz bana mtu anakaa mwananyamala hapo anaandika Ivan hajafa na wote tunaamini

Mtu huyo huyo hata sura hajawah kumuona huyo Ivan kamjulia Insta tuuu.

Tuiache familia yake ipate faraja jaman.... kwan Ivan ni nan hadi asife akati sie wote someday tutakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…