Inasemekana Jeff Bezos kufanya harusi ya zaidi ya Trilioni 1.

Inasemekana Jeff Bezos kufanya harusi ya zaidi ya Trilioni 1.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Screenshot_20241222-091218.png


Wakati huo mwanangu unafukuzwa na kausha damu ulipe deni la laki tano, mwenzako anaoa mwanamke kwa bajeti ya nchi😂😂, life is a bitch, man😭
 
Hii ng'ombe inadhihirisha utajiri ni ngekewa na hauna uhusiano na akili.

This idiot ni mdhaifu sana kwa wanawake na hii ni kwasababu muda aliokuwa anatakiwa awachezee awa viumbe yeye alikuwa amejichimbia anabuni AMAZON 😄😄😄 Life halipo balanced kabisa,,,

Bwana huyu anataka arudi kuwa homeless, wacha tuone this time atachukua muda gani kabla ya kupigwa KO.

#KATAA NDOA, NDOA NI KWA WANAUME DHAIFU(SIMPS)!!!
 
Mpunga anaomiliki Jeff hiyo pesa ni kidogo sana.

Wanaume wote ttunapenda kutumia pesa kwa wanawake tunaowapenda shida hua ni kipato kwa hiyo kila mwanaume hua yuko tayari kutumia pesa kulingana na kipato chake.

Kipindi nasoma, mwanamke alikua akiomba nimtumie 10k nasema huyu anapenda sana pesa, kumbe shida ilikua ni mimi kipato kidogo.
 
Back
Top Bottom