Inasemekana Jeff Bezos kufanya harusi ya zaidi ya Trilioni 1.

View attachment 3182201

Wakati huo mwanangu unafukuzwa na kausha damu ulipe deni la laki tano, mwenzako anaoa mwanamke kwa bajeti ya nchi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, life is a bitch, man๐Ÿ˜ญ
Jeff bhana ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Kwahiyo anataka kumuonyesha mtalaka wake pamoja na kwamba kutaka kunifilisi bado nina mzigo.
 
Hii ng'ombe inadhihirisha utajiri ni ngekewa na hauna uhusiano na akili.

This idiot ni mdhaifu sana kwa wanawake na hii ni kwasababu muda aliokuwa anatakiwa awachezee awa viumbe yeye alikuwa amejichimbia anabuni AMAZON ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Life halipo balanced kabisa,,,

Bwana huyu anataka arudi kuwa homeless, wacha tuone this time atachukua muda gani kabla ya kupigwa KO.

#KATAA NDOA, NDOA NI KWA WANAUME DHAIFU(SIMPS)!!!
 
Mpunga anaomiliki Jeff hiyo pesa ni kidogo sana.

Wanaume wote ttunapenda kutumia pesa kwa wanawake tunaowapenda shida hua ni kipato kwa hiyo kila mwanaume hua yuko tayari kutumia pesa kulingana na kipato chake.

Kipindi nasoma, mwanamke alikua akiomba nimtumie 10k nasema huyu anapenda sana pesa, kumbe shida ilikua ni mimi kipato kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ