Inasemekana Jeff Bezos kufanya harusi ya zaidi ya Trilioni 1.

Mkuu, kwahiyo dola milioni mia sita ni trilioni moja? Rudia hesabu zako...
 
Kataa ndoa hajui hata chai anywe nini kanuna hukoo anaandika huku kakabwa🤣🤣🤣🤣

Weitaaa ongeza🍷🍿🍷🍿🍷🍿🍷🍿
 
Si ana pesa huyo
Ashaazitimbe

Ova
 
Afadhali hao wanaofanya harusi za gharama kubwa kwa hela zao bila kutegemea michango kutoka mifuko ya watu wengine kama waswahili wanavyosumbua watu kwa starehe zao
 
Ni halali na ni haki yake. Katika Trillion nyingi alizo nazo, katumia 1 kufanya harusi yake.

Kwani kazi ya pesa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…