#COVID19 Inasemekana kirusi cha COVID-19 aina ya Delta kimeingia Mwanza

Endeleen na ukaid wenu,jamaa yenu alisema hivyo hivyo kuwa tegemeo ni mungu,yuko wapi leo??

Kwani huko Vatican wanakodanja kila leo hawana Mungu??

Anyway,kufa wote tutakufa,mwenye masikio haambiwi sikia
Dunia ya leo una kaamini ka mungu kale kazeruzeru!! tena kabaguzi kakubwa kale ka vatican?? kwa taarifa yenu Mtasubiri sana kamwe hakaji kale!!! na sisi hatufi ng'oo!! .....kufa mwenyewe!!

umesikia wapi weusi wamekufa na COVID? hao wlio kufa ni uzee tu ulifika. Umesoma shule Babu au una ganga njaa?? yule yenu jamaa alikufa kwa Atrial fibrillation. hii ni tofauti siyo COVID, kasome upya hayo ni Magonjwa mawili tofauti!!!
 
Unapenda ubishi? Kwani hujui kwamba serikali iliyopita haikujishughulisha na mambo ya Covid? Hata pesa walizopata walizipiga..Vifaa tiba alikuwa anakataa kwamba vinaleta barakoa.

Kama unataka ligi ya ubishi tafuta wengine.
Duh! kukuuliza ushahidi tu ndio nimekuwa napenda ubishi? sasa tunajadiliana nini sasa?

Ok basi yote unayosema ni kweli kabisa,jioni njema.
 
Kwamba kipo Mwanza hiyo ni assumption. Fact ni kwamba kipo Tanzania, Dar es Salaam, Tanga
Hujamsikia daktari wa Bugando alipotoa taarifa kwamba Wana uhaba wa mitungi ya gesi ya oxygen sababu wagonjwa wameongezeka kwa kasi?
 
Chanjo situmii kwa kweli ntapambana na machungwa maana ndio yaliniokoa nilikuwa nakula machungwa kama chizi na unga wa ubuyu
🤣🤣🤣🤣🤣 unga wa ubuyu una vitu gani vya kusaidia kupambana nahao virus???
 
IMG_7565.jpg

Huyu jamaa na
IMG_7542.jpg

Na kundi la watanzania
IMG_7544.jpg

Ndio linatakuja kugarimu kwa ubishi
 
Niliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda, hakuna aliyejali.

Sasa leo ITV wametangaza upungufu wa oxygen Bugando. Niliomba Serikali yetu tukufu ipige marufuku mikusanyiko yote mipirani, mikutanoni na hata kwenye mazishi, misiba, harusini, mikutano ya hadhara ya kisiasa na kidini n.k. Nikaandika hilo gonjwa la COVID-19 au Delta Variant linateketeza wenzetu Uganda, bado watu hawaamini.

Sasa hayawi hayawi yamekuwa. Nilishangaa sana na hata kupigiwa simu na marafiki zangu waliopo nje ya nchi wakishangaa sana kuona mechi ya Simba na Yanga kujaza watu wote wale elfu 55 sio maskhara. Narudia tena kutoa wito kwa wahusika kupiga marufuku mikusanyiko ya watu. Jamani jamani tunaishi dunia hiyo hiyo ya wenzetu tena waafrika wanaoathirika na kuteketea.

Tulete chanjo ya Pfizer kupitia mahospitali binafsi na ya serikali. Anayetaka achanje asiyetaka shauri lake ila tutashindwa hata kwenda sokoni na hizo jezi za Yanga na Simba zitageuka sanda.

EEH ALLAH TUNUSURU NA WANUSURU WAJA WAKO WOTE AFRIKA NA DUNIANI.SISI TUNAKIRI MBELE YAKO KUWA TUNAISHI KATIKA DUNIA HIYO HIYO WANAOISHI WENZETU ULIYOIUMBA WEWE MTUKUFU PEKEE. AMEEN.
Sasa hata hizo alfa na beta hatujaziona , unatutia hofu na delta. Usitutishe . Warudi maabara watengeneze vingine hata Gigabite maana huku kwetu bado watu wanaishi kama kawaida na tunaendelea na maisha .
 
Unapenda ubishi? Kwani hujui kwamba serikali iliyopita haikujishughulisha na mambo ya Covid? Hata pesa walizopata walizipiga..Vifaa tiba alikuwa anakataa kwamba vinaleta barakoa.

Kama unataka ligi ya ubishi tafuta wengine.
Kwaiyo kipindi hicho,maiti ziliokotwa mabarabarani kama mabwana wenu walivyokuwa wakitabili, maana pamoja na kutangaza ujio wa corona akuna atuna zozote zilizo chukuliwa.itachukua miaka mingi africa kujikomboa kifikira.
 
Jogoo akawika, “Usiku na uche tumchinje kondoo...................”
 
Niliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda, hakuna aliyejali.

Sasa leo ITV wametangaza upungufu wa oxygen Bugando. Niliomba Serikali yetu tukufu ipige marufuku mikusanyiko yote mipirani, mikutanoni na hata kwenye mazishi, misiba, harusini, mikutano ya hadhara ya kisiasa na kidini n.k. Nikaandika hilo gonjwa la COVID-19 au Delta Variant linateketeza wenzetu Uganda, bado watu hawaamini.

Sasa hayawi hayawi yamekuwa. Nilishangaa sana na hata kupigiwa simu na marafiki zangu waliopo nje ya nchi wakishangaa sana kuona mechi ya Simba na Yanga kujaza watu wote wale elfu 55 sio maskhara. Narudia tena kutoa wito kwa wahusika kupiga marufuku mikusanyiko ya watu. Jamani jamani tunaishi dunia hiyo hiyo ya wenzetu tena waafrika wanaoathirika na kuteketea.

Tulete chanjo ya Pfizer kupitia mahospitali binafsi na ya serikali. Anayetaka achanje asiyetaka shauri lake ila tutashindwa hata kwenda sokoni na hizo jezi za Yanga na Simba zitageuka sanda.

EEH ALLAH TUNUSURU NA WANUSURU WAJA WAKO WOTE AFRIKA NA DUNIANI.SISI TUNAKIRI MBELE YAKO KUWA TUNAISHI KATIKA DUNIA HIYO HIYO WANAOISHI WENZETU ULIYOIUMBA WEWE MTUKUFU PEKEE. AMEEN.
Kimalize hiyo Kanda pendwa yote
 
Kichekesho ni Bimkubwa kusema taarifa alizonazo ni wagonjwa 70 pekee ndiyo wako kwenye mitungi.
 
Back
Top Bottom