MANAGER DOCTOR WENGER
JF-Expert Member
- Jan 3, 2026
- 202
- 304
Hapana bhana sizani kama ni Abdul ni maneno tu ya watu mkuu, unakumbuka sheli za lake oil zili zushiwa ni za jk kumbe masikini ally awadhNi kweli..showroom nyanganyanga ,Abduli anapumylia gesi saivi pyeee
Inasikitisha sana haya mambo yasikie kwa watu tu, nimefanya bizness nayajuaNikajua mnachoma masoko tu .
ilipo hazina ya mtu ndipo Moyo wake ulipo.Inasikitisha sana haya mambo yasikie kwa watu tu, nimefanya bizness nayajua
Ni ya Abdul?Ni kweli..showroom nyanganyanga ,Abduli anapumylia gesi saivi pyeee
Tusubiri taarifa rasmi za mamlakaNimeona moto wa hatari aisee
CC: JamiiCheckNishazeeka nasikia tu stori sijui kitu wakuu, ninesikia Kuna mtu katajwa nikashtuka, inasemekana ndo mmiliki ila matatizo haya, sijafurahishwa, sababu naijua biashara inavo vuruga unapo pata hasara kama hizi
Ni kweli imeungua
Hahahaha 😂 GeorgeNi ya Abdul?
Kama ni kweli apo MO29 missile hit the bull-eye 🎯
OK thanks 💪🏿Ni kweli imeungua