Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Ni ya Abduli kweli? Kama ni kweli nimesikitika sana, huyu dogo na mama yake walinipa bandari bure.
Ni ya Abdul?
Basi iungue tu isibaki hata majivu..!!Ni yake kbsaa feledhuli yule
Unadhani watakuja hadharani kusema nizaoHapana bhana sizani kama ni Abdul ni maneno tu ya watu mkuu, unakumbuka sheli za lake oil zili zushiwa ni za jk kumbe masikini ally awadh
Hahahaha,ni majivu kweli, ila pale alimuaeka dogo mmoja hv avimbe mjiniBasi iungue tu isibaki hata majivu..!!
Duh! Kodi zetu zinalipwa kwa style tofauti..!!Hahahaha,ni majivu kweli, ila pale alimuaeka dogo mmoja hv avimbe mjini
Landmax Automobiles. Sema habari ya umiliki siyo kama watu wanavyosema. Mwenyewe ni mwamba tu hustler wa mjini alianzia chini sana mpaka kufika hapo.Inaitwaje hii showroom tucheki gari zake Insta.
Haha jamani watuKama ni ya abdul hajakomolewa. Hapo atachota mabilioni mengine ya kodi na kununua magari mengine
GLandmax Automobiles. Sema habari ya umiliki siyo kama watu wanavyosema. Mwenyewe ni mwamba tu hustler wa mjini alianzia chini sana mpaka kufika hapo.
Hilo liko uchi kabisaHaha jamani watu
Ya Dullah huyo mwana wa JezebelNishazeeka nasikia tu stori sijui kitu wakuu, ninesikia Kuna mtu katajwa nikashtuka, inasemekana ndo mmiliki ila matatizo haya, sijafurahishwa, sababu naijua biashara inavo vuruga unapo pata hasara kama hizi
Unajuaje,Awadh ni mshika pembe tuHapana bhana sizani kama ni Abdul ni maneno tu ya watu mkuu, unakumbuka sheli za lake oil zili zushiwa ni za jk kumbe masikini ally awadh
Mkuu tunakoelekea Tanzania kubaya, kauli kama hizi ndio zinazisha chuki ya wananchi kwa serikali..Kama ni ya abdul hajakomolewa. Hapo atachota mabilioni mengine ya kodi na kununua magari mengine
Haezi pumlia gas juu anajua alivyoyapata na atayapata tena huku tunanunua sukari tsh 3000Ni kweli..showroom nyanganyanga ,Abduli anapumylia gesi saivi pyeee
Sasa ni chuki au uhalisia? Sasa ile report ya CAG pale kuna serikali hapo unaonaMkuu tunakoelekea Tanzania kubaya, kauli kama hizi ndio zinazisha chuki ya wananchi kwa serikali..