Inasemekana kuna showroom ya magari MIKOCHENI imeungua moto je ni kweli?

Dah Yan kuiokoa hii range walishindwa uzen
Kwa Dar ile showroom ni moja ya showroom zinazouza vyuma vya miaka ya mbele tu na mostly ni gari za Ulaya...

Endpo ukikuta Toyota pale basi ni zile 100M+
Hamna gari za ******* pale Kuna mkono wa mkubwa
 
Kwa izo ndinga hamna bima itakayomlipa. Watakuja na excuse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…