Inasemekana kwamba wadada wengi wa jf ni wa uswazi

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Izi ni tetesi tetesi tu kwamba asilimia kubwa ya wadada humu ni kutoka uswazini yaani akina mwajuma ndalandefu na chausiku.

Eti kwamba wadada wa ushuani wao ni insta na twitter ukimwambia Jf haijui,

Eti kwamba wadada wa ushuani wana vijiswaga vya kudekadeka tofauti na humu wengi ni wagumu mbagala rangi tatu

Eti kwamba hatujawahi kualikwa birthday humu na mdada yeyote kama wafanyavyo watoto wa kishua

Eti jamani ni kweli ?
 
Kwamba kipenzi cha roho yangu Yna2 anaishi tandale kwa mkunduge au buza kwa mpalange??
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wallah you made my night..😍
Si umeona sasa mixer viinglishi... Asha wangu wa tandale yeye kiswahili tu mtihani ukijichanganya ukamwandikia kizungu basi ujiandae na kesi ya kumtukana
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Izi ni tetesi tetesi tu kwamba asilimia kubwa ya wadada humu ni kutoka uswazini yaani akina mwajuma ndalandefu na chausiku.

Eti kwamba wadada wa ushuani wao ni insta na twitter ukimwambia Jf haijui,

Eti kwamba wadada wa ushuani wana vijiswaga vya kudekadeka tofauti na humu wengi ni wagumu mbagala rangi tatu

Eti kwamba hatujawahi kualikwa birthday humu na mdada yeyote kama wafanyavyo watoto wa kishua

Eti jamani ni kweli ?
Mpenzi wangu sio wa uswazi
Miss Reneee
 
Back
Top Bottom