Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Izi ni tetesi tetesi tu kwamba asilimia kubwa ya wadada humu ni kutoka uswazini yaani akina mwajuma ndalandefu na chausiku.
Eti kwamba wadada wa ushuani wao ni insta na twitter ukimwambia Jf haijui,
Eti kwamba wadada wa ushuani wana vijiswaga vya kudekadeka tofauti na humu wengi ni wagumu mbagala rangi tatu
Eti kwamba hatujawahi kualikwa birthday humu na mdada yeyote kama wafanyavyo watoto wa kishua
Eti jamani ni kweli ?