Ukweli ni kwamba,sisi ni wa uswahilini kabisaaaa..yeye mzungu arudi zake kwa malkia Elizabeth wameshaachia mipaka.
Hivi huyu mleta mada alishawahi kushambuliwa na umoja wa wanawake jamii forum(UWWJF)
Tuendelee kumzoom tu..Muache ajitoe akili[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli, shida iko wapi?
NaaamUkweli ni kwamba,sisi ni wa uswahilini kabisaaaa..yeye mzungu arudi zake kwa malkia Elizabeth wameshaachia mipaka.
Hivi huyu mleta mada alishawahi kushambuliwa na umoja wa wanawake jamii forum(UWWJF)
[emoji1787][emoji1787]
Eeh nipo kijijini ndanindani huko.Mkuu nawewe upo kwenye hiyo orodha ??
Nyie mpuuzeni tu nyonga mkalia figo languKabisa babe sasa sijui mtoa mada anatakaje yaani
[emoji419][emoji375]Gentleman never kiss and tell.
Kiwanda cha nyuzi,
Tunafyatua popote na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
Wewe na HannahJf kuna wanaume tu wanawakr wapo wawili tu
Hakuna ukweli vidada hivyo vipo facebook na instagram.Izi ni tetesi tetesi tu kwamba asilimia kubwa ya wadada humu ni kutoka uswazini yaani akina mwajuma ndalandefu na chausiku.
Eti kwamba wadada wa ushuani wao ni insta na twitter ukimwambia Jf haijui,
Eti kwamba wadada wa ushuani wana vijiswaga vya kudekadeka tofauti na humu wengi ni wagumu mbagala rangi tatu
Eti kwamba hatujawahi kualikwa birthday humu na mdada yeyote kama wafanyavyo watoto wa kishua
Eti jamani ni kweli ?
πππ msamehe kwa leoUkweli ni kwamba,sisi ni wa uswahilini kabisaaaa..yeye mzungu arudi zake kwa malkia Elizabeth wameshaachia mipaka.
Hivi huyu mleta mada alishawahi kushambuliwa na umoja wa wanawake jamii forum(UWWJF)
Kiwanda cha nyuzi,
Tunafyatua popote na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.