Inasemekana kwamba wadada wengi wa jf ni wa uswazi

Inasemekana kwamba wadada wengi wa jf ni wa uswazi

Muache ajitoe akili[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukweli ni kwamba,sisi ni wa uswahilini kabisaaaa..yeye mzungu arudi zake kwa malkia Elizabeth wameshaachia mipaka.

Hivi huyu mleta mada alishawahi kushambuliwa na umoja wa wanawake jamii forum(UWWJF)
 
Jf kuna wanaume tu wanawakr wapo wawili tu
 
Izi ni tetesi tetesi tu kwamba asilimia kubwa ya wadada humu ni kutoka uswazini yaani akina mwajuma ndalandefu na chausiku.

Eti kwamba wadada wa ushuani wao ni insta na twitter ukimwambia Jf haijui,

Eti kwamba wadada wa ushuani wana vijiswaga vya kudekadeka tofauti na humu wengi ni wagumu mbagala rangi tatu

Eti kwamba hatujawahi kualikwa birthday humu na mdada yeyote kama wafanyavyo watoto wa kishua

Eti jamani ni kweli ?
Hakuna ukweli vidada hivyo vipo facebook na instagram.
JF wakishua wewe
 
Ukweli ni kwamba,sisi ni wa uswahilini kabisaaaa..yeye mzungu arudi zake kwa malkia Elizabeth wameshaachia mipaka.

Hivi huyu mleta mada alishawahi kushambuliwa na umoja wa wanawake jamii forum(UWWJF)
😂😂😂 msamehe kwa leo
 
Either ndio au sio ila Kwan uswazi sio sehemu ya kuishi au mi sijaelewa[emoji848]
 
Back
Top Bottom