Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Kwani hata huko Ismani unadhani huwa anapita kwa kura za kupigiwa? Ni wizi tu wa kuraAmepita! Binafsi ninamkubali sana!
Jamaa ni very geniusUzuri nobody cares about that......
Akiwa anastahili atapata akiwa hastahili atakosa.
Ila sio kwa agenda zako za kidini.
Unajiskiaje kuwa mtu unayependa kutambulika kwa Dini yako popote pale Ulipo?
Very genius. Ameongea ukweli mtupuSijui atapata kura ya nani!😁 labda wa imani yake na dhehebu lake kwa ujumla, kwa muislamu asitegemee kupata kura
Kama mnakumbuka maneno yake ya uchochezi dhidi ya waislamu hukoo kanisani
Very genius. Ameongea ukweli mtupu
Uzuri nobody cares about that......