Lukuvi anayo haki ya kufanya hivyo. Lakini ndani ya ccm si wanapeana miaka 10. Kama ndivyo basi mheshimiwa mama atagombea 2025. Vinginevyo labda wale WAGUMU wa kuelewa wanaosema mama anamalizia utawala wa awamu ya tano kikatiba, na baada ya hapo utaitishwa uchaguzi ndani ya chama kumchagua mgombea atakayewakilisha chama 2023 na kumpata raisi wa kuchaguliwa wa awamu ya 6.
Sasa hivi mnamwogopa kila mtu
Lukuvi ni presidential material na ni mwaminifu, binafsi namtakia kila lakheri kama ni kweli!
Au hupendi?
Si jambo baya, Ni haki yake kikatiba.Binafsi ninamkubali sana na ninamtakia kila la kheri.
NB: Binafsi kuliko kumpigia kura Suluhu bora nikatupe kura yangu mtoni
DuhAnayo degree??
huu uzi labda kuna mtu ameuleta kupima hisia za watu.
kwa kifupi Lukuvi ni mtu smart kwenye utendaji hata mavazi, yaani ni mtanashati wakati wote. Nilianza kumuona ni mtendaji mzuri wakati akiwa ni RC Dar Es Salaam. Anyway katiba mpya ambayo ni nzuri ndio kila kitu kwenye uchumi wa nchi yetu.
kwani katiba ya nchi inasemaje mtu anayetaka uongozi? Anyway, ana shahada ya Uzamili kutoka Open University of Tanzania.Anayo degree??
Labda agombee umiss TanzaniaAmekuwa na network yake - kila weekend yupo Iriiiiiiiiingaaaaa! Wanayopanga ni ya mwaka 2025 ingawa hawataki mtu yeyote wasiyemjua au kumwamini afike wanapokuwa wamekaa. Tetesi ni kujiandaa kuja kugombea unamba Moja. Itakuwa nzuri sana ingawa kura yangu hapati ng'oooooooooooooooooooooo!
Wasira mbona hastaafu? tamaaDuh
Sidhani yule sasa anastaafu Siasa!
Waarabu wana-enjoy balaaWatu wa kusini wachangamke na wao kazi kuwa machawa tuu , wataishia kuwa mitoilet paper , Lukuvi ndo kete yao pekee iliyo na nguvu sana , tatizo yamekuwa michawa ya watu wa Pwani , tabu kabisa.... Utashangaa hata support hapewi, duniani hapa kula na wa kwenu full stop , huoni twiga wanapelekwa Kwa mjomba Omani daily , fukuza Loliondo wote wajomba wawekeze ..
Anayo degree??
Mkabila wewe, nenda nchi jiraniHuwez kuzikwepa
Wassira yuko na Mbowe kwenye MaridhianoWasira mbona hastaafu? tamaa
Mbona wewe huchukui form ya uenyekiti huko chadema?Ni haki yake ya kikatiba
katiba ya chadema inasema mwenyekiti na mmiliki wa chama bwana mbowe habadilishwi mpaka afie hapoMbona wewe huchukui form ya uenyekiti huko chadema?
Wewe sio lazima useme unaunga mkono wapi labda mgeni wa hapa JF asiyekutambua wewe akili zako zilipolaliaHaki yake, atimize masharti na vigezo. Sukuma gang wapo watamuunga mkono. Wengine sisi tuna mama Samia mpaka kieleweke.
Sahihi. Asante kwa kunikumbusha mwaka wa uchaguzi 2025 mm nilikosea nikaandika 2023 sijui ni uchaguzi wa wapi...Miaka 10 ndiyo inaishia 2025 mambo ya kupeana yamesitishwa kwa muda.